Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha Dk. Charles Mahera mwenye shati la mikono mirefu akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Shirika la World Vision Tanzania mkoani Arusha pamoja na wawakilishi wa wananchi wilayani Arumeru mkoani hapa wakati wa kufunga Mradi wa World Vision -Mukulati ADP
Showing posts with label ARUSHA NEWS. Show all posts
Showing posts with label ARUSHA NEWS. Show all posts
Tuesday, September 18, 2018
Tuesday, August 7, 2018
SHIRIKA LA WORLD VISION TANZANIA, TAASISI YA AMARANTH NA ECHO WAKUTANISHA WATAALAMU MASUALA YA AFYA NA LISHE KWENYE KONGAMANO LA LISHE MAENEO KAME NCHINI
Monday, August 6, 2018
WANANCHI WAVUTIWA BANDA LA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII VIWANJA VYA MAONYESHO YA NANE NANE NJIRO ARUSHA
Afisa Mwandamizi wa Utalii Mamlaka ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro Gibson Olemtara akimsikiliza mmoja wa wananchi waliotembelea kwenye banda la Wizara ya Maliasili na Utalii Viwanja vya Maonyesho ya Nane Nane Njiro Arusha ambapo Mashirika yaliyopo chini ya Wizara hiyo yamepiga kambi kwenye banda hilo kwa ajili ya kukithi kiu za wananchi kuhusu utalii.
WAKULIMA WALIOTEMBELEA BANDA LA TAHA MAONYESHO YA NANE NANE NJIRO WAAHIDI MAKUBWA KWENYE MASHAMBA YAO
Baadhi ya wananchi wakiwa katika Banda la Asasi kilele ya sekta binafsi inayojishughulisha na kuendeleza tasnia ya horticulture nchini Tanzania (TAHA), kwenye Viwanja vya Maonyesho ya Nane Nane Njoro Arusha yanayojumuisha Mikoa ya Kanda ya Kaskazini.
TANESCO YAWAONYA WACHAKACHUAJI WA MITA MIAKA MITANO JELA ITAWAHUSU
Msimamizi wa Kitengo cha Mita Mkoa wa Arusha, Charles John.
NA MWANDISHI WETU-ARUSHA
SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO), limewataka wananchi wa mikoa
ya Kaskazini kujiepusha na vitendo vya kuchakachua Mita za umeme kwani
atakayekutwa ametenda kosa hilo atafungwa jela miaka mitano.
Friday, August 3, 2018
Friday, July 13, 2018
WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI WA KAMPUNI YA MWIBA HOLDING
Mmoja wa Wakurugenzi Kampuni ya Mwiba Holdings, Abdukadir
Mohammed akielezea mipango ya uwekezaji wa kampuni hiyo wilayani Meatu mbele ya
wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa Manyara waliopotembelea kampuni hiyo.
WANANCHI
wa Mkoa wa Simiyu, Arusha, Mara, Shinyanga na Mwanza wametakiwa kuchangamkia
fursa zinazotokana na uwekezaji unaofanywa na Kampuni ya Kitalii ya Mwiba
Holding Ltd katika Pori la Akiba Maswa.
Mpaka sasa Taasisi ya Friedkin Conservation Fund (FCF), inayoendesha
Kampuni za Mwiba Holding, Tanzania Game Trackers Safaris(TGTS) na Wingert
Safaris imewekeza zaidi ya Sh Bilioni 670 katika maeneo tofauti ya kitalii
nchini.
Thursday, June 28, 2018
ASASI YA WATU NA WANYAMA (TPW), YAIWEZESHA BAWAKIMO SH MILIONI 40 ZA MRADI WA UHIFADHI MAZINGIRA NA UFUGAJI WA NYUKI
Msimamizi wa miradi wa Asasi ya Watu na Wanyama ya (TPW),
iliyopo Simanjiro mkoani Manyara akizungumza wakati wa kukabidhi mradi mpya wa
uhifadhi mazingira na ufugaji nyuki kwa Baraza la Wanawake wa Kikufugaji
Monduli (BAWAKIMO), Asasi hiyo imewapa Sh milioni 40 kama mtaji kwa wanawake 250 wa Kata ya Lemooti na Mswakini wilayani Monduli.
Monday, June 4, 2018
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI (TAWA), YAMWANGA MILIONI 50 UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA UFUNDI SIMIYU
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka akielezea kwa wanahabari faida na umuhimu wa Pori la Akiba la Maswa, lililowezesha kupitia mapato yanayokusanywa kupitia shughuli za utalii wa picha na uwindaji wa kitalii kuchangia mkoa huo Sh milioni 50 za ujenzi wa majengo ya Shule ya maalumu ya vipaji ya Sekondari ya Ufundi Simiyu inayojengwa mjini Bariadi.Fedha hizo zilitolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini (TAWA)
Wednesday, May 9, 2018
Monday, April 30, 2018
TANAPA YACHANGIA MILIONI 50 UJENZI SEKONDARI YA UFUNDI SIMIYU
Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi akimkabidhi mfano wa Hundi ya Sh milioni 50, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka, kushoto ni Meneja Uhusiano wa TANAPA Paschal Shelutete na kulia mwisho ni Mkuu wa wilaya ya Bariadi Festo Kiswaga.
Monday, April 23, 2018
COMMERCIAL BANK OF AFRICA (CBA) TANZANIA, IPO IMARA NA SALAMA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 100
Afisa Mtendaji Mkuu wa Commercial Bank of Africa (CBA) Tanzania, Gift Shoko akizungumza na wateja wa benki hiyo mkoani Arusha wakati wa chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa lengo la kuwashukuru kwa kuendelea kuwaamini, kuwaelezea maendeleo yanayotokea na kupokea mrejesho kutoka kwa wateja wao, halfa hiyo ilifanyika Mount Meru Hoteli mjini hapa.
Sunday, April 15, 2018
MAONYESHO YA SEKTA YA UTALII YAJULIKANAYO KARIBU KILIFAIR KUFANYIKA JUNI 1 HADI 3, MWAKA HUU MJINI MOSHI
Wakurugenzi Watendaji wa KILIFAIR wa kwanza kulia Dominic Shoo na watano kutoka kulia Tom Kunkler, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wao wakati wa hafla ya kutambulisha maonyesho ya utalii yajulikanayo kama KARIBU KILIFAIR yatakayofanyika mjini Moshi Juni 1 mpaka 3, mwaka huu. Hatua hiyo imekuja baada ya kuungana kwa KARIBU FAIR na KILIFAIR.
Tuesday, April 10, 2018
JENGO la kitega uchumi la Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro jijini Arusha ambalo ujenzi wake unatarajiwa kukamilika mwezi juni mwaka huu litakuwa kivutio cha kihistoria cha utoaji wa huduma za utalii hapa nchini.
Na Hamza Temba - WMU
........................................................
JENGO la kitega uchumi la Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro jijini Arusha ambalo ujenzi wake unatarajiwa kukamilika mwezi juni mwaka huu litakuwa kivutio cha kihistoria cha utoaji wa huduma za utalii hapa nchini.
NDEGE VIVUTIO VINAVYOCHANGIA KUIMARISHA MAPATO KWENYE SEKTA YA UTALII NCHINI
JAMII nchini imetakiwa kuwatunza na kuwalinda ndege waliopo
kutokana na kuwa sehemu ya vivutio vinavyochangia kuimarisha mapato kwenye sekta ya utalii.
ASASI YA NATURE TANZANIA YAHAMASISHA KUTUNZA NDEGE KWA AJILI YA UTALII
Baadhi ya wafanyakazi, watafiti wa masuala ya uhifadhi na utalii na Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Nature Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mjini Arusha
Monday, April 9, 2018
RC GAMBO AAGIZA KILA HALMASHAURI ARUSHA IPANDE MITI MILIONI 1.5 KWA MWAKA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo ameziagiza halmashauri zote za
mkoani humo kupanda miti milioni 1.5 kwa mwaka ili kutunza mazingira.
Friday, March 30, 2018
Thursday, March 29, 2018
KLABU ZA BIASHARA MWAROBAINI WA TATIZO LA AJIRA TANZANIA YA VIWANDA
-ARUSHA
ELIMU ya ujasiriamali kupitia Klabu za Biashara inayolenga wanafunzi wa Shule za Msingi,Sekondari na Vyuo kujifunza kwa vitendo, kuweka akiba na kupata kipato imetajwa kuwa ni mwarobaini wa tatizo la ajira nchini.
Wednesday, March 21, 2018
TANZANIA NA UJERUMANI ZAKUBALIANA KUENDELEZA TAFITI ZA MASALIA YA MIJUSI KATIKA ENEO LA TENDAGURU MKOANI LINDI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Maj. Gen. Gaudence S. Milanzi (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Historia Asilia ya Berlin Ujerumani (Berlin Museum of Natural History), Prof. Johannes Vogel kuhusu masalia ya mjusi wa Tanzania yaliyofadhiwa katika makumbusho hiyo.
Subscribe to:
Posts (Atom)














