Tuesday, September 18, 2018

SHIRIKA LA WORLD VISION TANZANIA LAKABIDHI MRADI WA WORLD VISION -MUKULAT ADP WILAYANI ARUMERU MKOANI ARUSHA KWA WANANCHI NA SERIKALI BAADA YA KUUSIMAMIA KWA MIAKA 15

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha Dk. Charles Mahera mwenye shati la mikono mirefu akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Shirika la World Vision Tanzania mkoani Arusha pamoja na wawakilishi wa wananchi wilayani Arumeru mkoani hapa wakati wa kufunga Mradi wa World Vision -Mukulati ADP


 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha Dk. Charles Mahera akizungumza na viongozi wawakilishi wa wananchi wakati wa kufunga mradi wa Shirika la World Vision -Mukulati ADP , Halmashauri ya Arusha mkoani Arusha
 Mkurugenzi wa Miradi Shirila la World Vision Tanzania Johnson Robinson akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi mradi huo kwa viongozi mbalimbali wa wananchi Halmashauri ya Arusha mkoani aliyekaa ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha Dk. Charles Mahera.
 Viongozi na wawakilishi wa wananchi Halmashauri ya Arusha mkoani Arusha wakifuatilia hotuba wakati wa halfa ya kukabidhi Mradi wa Shirika la World Vision -Mukulati ADP kwa wananchi na serikali 
Wafanyakazi wa Shirika la World Vision Tanzania (WVT) wakitambulishwa wakati wa kufunga Mradi wa Shirika hilo -Mukulat ADP Halmashauri ya Arusha 
 Mratibu wa Mradi wa Mukulat ADP kutoka Shirika la World Vision Tanzania Akwelina John akizungumza wakati wa kufunga mradi huo
 Baadhi ya viongozi na wawakilishi wa wananchi katika Mradi wa World Vision -Mukulat ADP 
 Mkurugenzi Halmashauri ya Arusha Dk. Charles Mahera akiwakabidhi Vyeti viongozi na wawakilishi wa wananchi katika Mradi wa Shirika la World Vision -Mukulat ADP 



Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha, Dk. Charles Kazeri akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Shirika la World Vision mara baada ya kufunga halfa ya kupokea mradi wa World Vision -Mukulat ADP uliokuwa ukiendeshwa na shirika hilo kwa miaka 15.

No comments:

Post a Comment