Baadhi ya wananchi wakiwa katika Banda la Asasi kilele ya sekta binafsi inayojishughulisha na kuendeleza tasnia ya horticulture nchini Tanzania (TAHA), kwenye Viwanja vya Maonyesho ya Nane Nane Njoro Arusha yanayojumuisha Mikoa ya Kanda ya Kaskazini.
Wajasiriamali wa kilimo biashara kutoka mkoani Arusha wakisikiliza maelezo kutoka kwa mtaalamu wa kilimo wa TAHA
Baadhi ya vijana waliofunga safari kwa ajili ya kutembelea Banda la TAHA wakiwa na nia ya kujifunza namna ya kuendesha kilimo cha bustani wakati wa maonyesho ya Nane Nane, Mtaalamu kutoka TAHA mwenye fulana nyeupe akiendelea kutoka maelezo.
Mtaalamu wa kilimo akielekeza namna bora ya kupanda mbogamboga kwenye Banda la TAHA lililomo ndani ya Viwanja vya Maonyesho ya Nane Nane Njiro Arusha
Baadhi ya bustani za mbogamboga zinazotumiwa kama darasa kwa wakulima wanaotembelea Banda la TAHA lililomo ndani ya Viwanja vya Maonyesho ya Nane Nane Njiro Arusha
Baadhi ya wananchi wakiangalia bustani
Wageni waliotembelea Banda la TAHA wakipata maelezo ya Wine zinazotengenzwa kwa kutumia matunda
Muonekano wa bustani kwa ajili ya shamba darasa kwa wananchi na wakulima wanaotembelea TAHA
Afisa Mawasiliano wa TAHA Iman Hezron akimuonyesha mwananchi Kitabu cha kinachoelezea mienendo ya soko la mazao ya Hosticulture kwa mwaka 2016-2017
Afisa Mawasiliano wa TAHA Iman Hezron mwenye fulana nyeupe akiwaelekeza wakulima waliotembelea Banda la TAHA kuanza ziara ya kujifunza kupitia bustani zilizoandaliwa kitaalamu
Baadhi ya wakulima waliotembelea Banda la TAHA wakiacha kumbukumbu zao za mawasiliano
Ofisa wa TAHA Irine Saria akiwa na mwananchi aliyetembelea banda hilo wakati wa Maonyesho ya Nane Nane viwanja vya Njiro Arusha
Afisa Mawasiliano wa TAHA Iman Hezro akizungumza na mmoja wa wakulima waliotembelea banda hilo kwenye Maonyesho ya Nane Nane Njiro mjini Arusha
No comments:
Post a Comment