Baadhi ya washiriki wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa kuhusu kufanyka kwa maonyesho ya KARIBU KILIFAIR mjini Moshi Juni 1 mpaka 3 mwaka huu, halfa hiyo ilifanyika mjini Arusha.
Wakifuatilia maelezo kutoka kwa wataalamu wa sekta ya utalii kuhusu maonyesho ya KARIBU KILIFAIR yatakayofanyika mjini Moshi Juni 1 mpaka 3, mwaka huu
Waalikwa wakifuatilia maelezo ya kufanyika kwa maonyesho hayo mjini Moshi Juni 1 mpaka 3, mwaka huu
Baadhi ya waalikwa katika halfahiyo wakifuatilia maelezo mbalimbali kutoka kwa waandaaji
Wadau wakifuatilia
Wasanii kutoka Kituo cha Utamaduni na Sanaa, Chuo Kikuu cha Makumira kilichopo Arusha wakifuatilia maelezo kuhusu maonyesho yautalii ya KARIBU KILIFAIR yatakayofanyika mjini Moshi
Wadau wa sekta ya Utalii kutoka maeneo tofauti wakifuatilia mada iliyowasilishwa na Wakurugenzi Watendaji wa KILIFAIR wakati wa hafla ya kutambulisha kufanyika kwa maonyesho hayo mjini Moshi
Meneja wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Tawi la Arusha Will Lyimo akitoa maaelezi mafupi kuhusu Bodi hiyo ikiwamo pia kupongeza uamuzi wa kuunganisha maonyesho ya KARIBU FAIR na KILIFAIR pembeni yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa KILIFAIR Dominic Shoo
Mkurugenzi Mtendaji wa KILIFAIR KARIBUFAIR Tom Kunkler (katikati), akibadilishana mawazo na wadau wa utalii waliohudhuria hafla hiyo mjini Arusha
Meneja wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Tawi la Arusha Willy Lyimo (kulia), akibadilishana mawazo na baadhi ya wadau wa utalii
Mkurugenzi Mtendaji wa KILIFAIR KARIBU FAIR Dominic Shoo aliyesimama akibadilishana mawazo na wafanyakazi wake
Meneja wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Willy Lyimo akizungumza na vyombo vya habari kuhusu kuunganishwa kwa maonyesho ya KARIBU FAIR na KILIFAIR
Katibu wa Chama cha Mawakala wa Utalii Tanzania (TATO), Cyril Ako akizungumza na wanahabari
Mkurugenzi Mtendaji wa KILIFAIR KARIBU FAIR Tom Kunkler akiwasilisha mada kuhusu maonyesho yaliyowahi kufanyika awali katika uwanjwa wa Ushirika Mjini Moshi
Baadhi ya wadau wa utalii wakifuatilia mada mbalimbali
Wadau wa utalii
Wasanii kutoka Kituo cha Sanaa na Utamaduni (CAC), wakifuatilia baadhi ya maelezo
Program Meneja wa Kituo cha Sanaa na Utamaduni (CAC), Chuo Kikuu cha Makumira Randall Stubbs akiwasilisha mada mbele ya wadau wa utalii
Mkurugenzi Mtendaji wa KILIFAIR KARIBU FAIR Dominic Shoo akiwasilisha mada wakati wautambulisho wa kufanyika kwa maonyesho ya utalii mjini Moshu Juni 1 hadi 3 mwaka huu
Mkurugenzi wa Ujumbe Ink Limited Victor Molle akiwasilisha mada mbele ya wadau wa sekta ya utalii wakati wa hafla ya kutambulisha kufanyika kwa maonyesho ya KILIFAIR mjini Moshi Juni 1 hadi 3, mwaka huu
Mkurugenzi Mtendaji wa KILIFAI KARIBU FAIR Tom Kunkler (kushoto), akibadilishana mawazo na Program Meneja wa Kituo cha Sanaa na Utamaduni (CAC), Chuo Kikuu cha Makumira Randall Stubbs
Katibu wa Chama cha Mawakala wa Utalii Tanzania (TATO), Cyril Ako akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa KILIFAIR KARIBU FAIR Tom Kunkler
Mkurugenzi Mtendaji wa KILIFAIR KARIBU FAIR Tom Kunkler wa kwanza (kulia), akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa utalii nchini
Majadiliano na kubadilishana mawazo kutoka kwa wadau wa utalii nchini
No comments:
Post a Comment