Monday, August 6, 2018

WANANCHI WAVUTIWA BANDA LA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII VIWANJA VYA MAONYESHO YA NANE NANE NJIRO ARUSHA

 Afisa Mwandamizi wa Utalii Mamlaka ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro Gibson Olemtara akimsikiliza mmoja wa wananchi waliotembelea kwenye banda la Wizara ya Maliasili na Utalii Viwanja vya Maonyesho ya Nane Nane Njiro Arusha ambapo Mashirika yaliyopo chini ya Wizara hiyo yamepiga kambi kwenye banda hilo kwa ajili ya kukithi kiu za wananchi kuhusu utalii.

Mwananchi akifurahia kupiga picha pamoja na mfano wa Mnyama Simba ndani ya Banda la  Wizara ya Maliasili na Utalii



Afisa wa Mamlaka ya Wanyamaporini nchini (TAWA), Rahel Nkuni akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii Viwanja vya Nane Nane Njiro Arusha 

No comments:

Post a Comment