Afisa Mtendaji Mkuu wa Commercial Bank of Africa (CBA) Tanzania, Gift Shoko akizungumza na wateja wa benki hiyo mkoani Arusha wakati wa chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa lengo la kuwashukuru kwa kuendelea kuwaamini, kuwaelezea maendeleo yanayotokea na kupokea mrejesho kutoka kwa wateja wao, halfa hiyo ilifanyika Mount Meru Hoteli mjini hapa.
Baadhi ya wateja wa Commercial Bank of Afriak (CBA), Tawi la Arusha wakisikiliza hotuba kutoka Afisa Mtendaji Mkuu CEO wa Benki hiyo, Gift Shoko alipokuwa akizungumza nao kwenye hafla ya chakula cha usiku iliyolenga kuwashukuru wateja hao kwa kuendelea kuimanini benki hiyo
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Commercial Bank of Africa CBA Tanzania Gift Shoko akizungumza na wateja wa benki hiyo Tawi la Arusha wakati wa hafla ya chakula cha usiku iliyolenga kuwashukuru wateja na kupokea mrejesho kutoka kwao.
Mmoja wa wateja wa Commercial Bank of Africa (CBA) Tawi la Arusha akichangia mawazo kuhusu utendaji kazi na kuendelea kuimarisha huduma za kibenki Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa Commercial Bank of Africa (CBA) Tanzania, Gift Shoko akizungumza na wateja wa benki hiyo wakati wa hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na benki hiyo kwa ajii ya kuwashukuru.
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa Commercial Bank of Africa (CBA) Tanzania, Gift Shoko akibadilishana mawazo na Mkuu wa Wateja binafsi na Masoko Julius Konyani wakati wa halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya kuwashukuru wateja wao.
Baadhi ya wateja wakifuatilia hotuba wakati wa chakula cha usiku kilichondaliwa na Commercial Bank of Africa (CBA)
Mteja wa Commercial Bank of Africa (CBA), Tawi la Arusha akichangia mawazo na kuuuliza maswali wakati wa chakula cha usiku kilichondaliwa na benki hiyo kwa ajili ya kuwashukuru na kupokea mrejesho kutoka kwa wateja
Baadhi ya wateja wakifuatilia hotuba wakati wa chakula cha usiku kilichondaliwa na Commercial Bank of Africa (CBA)
Mkuu wa Idara ya wateja binafsi Masoko Commercial Bank of Africa (CBA) Tanzania, Julius Konyani akizungumza wakati wa halfa ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na benki hiyo
Maofisa wa Commercial Bank of Africa wakibadilishana mawazo wakati wa halfa ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya kuwashukuru

Afisa Mtendaji Mkuu wa Commercial Bank of Africa (CBA) Tanzania, Gift Shoko akibadilishana mawazo na baadh ya wateja wa benki hiyo wakati wa hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwashukuru wateja hao na kupokea mrejesho kutoka kwao
Baadhi ya wateja wa Commercial Bank of Africa (CBA), Tawi la Arusha wakiwa kwenye hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa ajili ya kuwashukuru
Baadhi ya wateja wa Commercial Bank of Africa (CBA), Tawi la Arusha wakiwa kwenye hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa ajili ya kuwashukuru
Mkuu wa Idara ya wateja binafsi na mikopo wa Commercial Bank of Africa (CBA) Tanzania, Julius Konyani akizungumza na wateja wa benki hiyo Tawi la Arusha wakati wa halfa ya chakula cha usiku iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwashukuru na kupokea mrejesho kutoka kwao
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Commercial Bank of Africa (CBA) Tanzania, Gift Shoko , akiteta jambo na mmoja wa wafayakazi wa benki hiyo
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Commercial Bank of Africa (CBA) Tanzania, Gift Shoko akisalimiana na mmoja wa wateja wa benki hiyo Tawi la Arusha wakati wa hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya kuwashukuru wateja
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Commercial Bank of Africa (CBA) Tanzania, Gift Shoko akiteja jambo na mmoja wa wateja wa benki hiyo Tawi la Arusha wakati wa hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya kuwashukuru wateja
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa Commercial Bank of Africa (CBA) Tanzania, Gift Shoko katikati akiteta jambo wakati wa hafla ya chakula cha usiku, kulia kwake ni Mkuu wa Idara ya Wateja binafsi na Masoko wa Benki hiyo Julius Konyani
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa Commercial Bank of Africa (CBA) Tanzania, Gift Shoko katikati akifurahia jambo na mteja wa benki hiyo kushoto, na kulia kwake ni Mkuu wa Idara ya Wateja binafsi na Masoko wa Benki hiyo Julius Konyani
Majadiliano na kubadilishana mawazo kukiendelea wakati wa hafla ya chakula cha usiku kwenye hoteli ya Mount Meru jijini Arusha
No comments:
Post a Comment