Baadhi ya wafanyakazi, watafiti wa masuala ya uhifadhi na utalii na Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Nature Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mjini Arusha
Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Nature Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja
Mjumbe wa Bodi ya Nature Tanzania Glory Bideberi (kushoto), akifuatiwa na Mratibu Shirika la Kimataifa la Birdlife lenye makao yake jijini Nairobi nchini Kenya Ken Mwathe
Mkuu wa Maendeleo na Ushirikiano katika Ukanda wa Afrika-Asia (giving nature a home), Dk. Chris Magin akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Nature Tanzania, pamoja na baadhi ya Watafiti wa masuala ya uhifadhi na utalii mjini Arusha
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Nature Tanzania Mwanaiddi Mkwizu (kushoto), akiguatulia mada zilizokuwa zikitolewa
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Nature Tanzania Mwanaiddi Mkwizu (kushoto), akijitambulisha
Mwenyekiti wa Bodhi ya Wadhamini ya Nature Tanzania, John Salehe (kulia) akijadili jambo na Mkuu wa Maendele na Ushirikiano katika Ukanada wa Afrika-Asia Dk. Chris Magin mjini Arusha
Mjumbe wa Bodi ya Nature Tanzania Glory Bideberi (kushoto) (kulia) akijadili jambo na Mkuu wa Maendele na Ushirikiano katika Ukanada wa Afrika-Asia Dk. Chris Magin mjini Arusha
Director, Partnership, Capacity and Communities (PCC), Birdlife International UK, Dk Julius Arinaitwe akitoa maelezo mafupi kwa wadau wa masuala ya ndege mjini Arusha, kulia kwake ni Mjumbe wa Bodi ya Nature Tanzania Glory Bideberi (kushoto)
Mjumbe wa Bodi ya Nature Tanzania Glory Bideberi akizungumza na wanahabari juu ya umuhimu wa kuwatunza ndege kwa ajili ya utalii na faida nyingine.
Mratibu Shirika la Kimataifa la Birdlife lenye makao yake jijini Nairobi nchini Kenya Ken Mwathe akizungumza na vyombo vya habari juu ya mradi wa utalii endelevu katika eneo la Ziwa Natron, wilayani Ngorongoro mkoani Arusha
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Nature Tanzania John Salehe akizungumzia kuhusu umuhimu wa utalii wa ndege na kuongeza vionjo vya utalii nchini.
No comments:
Post a Comment