Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha Dk. Charles Mahera mwenye shati la mikono mirefu akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Shirika la World Vision Tanzania mkoani Arusha pamoja na wawakilishi wa wananchi wilayani Arumeru mkoani hapa wakati wa kufunga Mradi wa World Vision -Mukulati ADP
Tuesday, September 18, 2018
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI (TAWA) NA MKWAWA HUNTING SAFARIS WAIMARISHA DORIA PORI LA AKIBA SELOUS
Baadhi ya magari ya Kampuni ya uwindaji wa kitalii ya Mkwawa Hunting Safaris yanayotumiwa katika doria ndani ya Pori la Akiba Selous, Kanda ya Kaskazini Magharibi-Msolwa wilayani Kilombero mkoani Morogoro. Pori hilo linasimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA)
Tuesday, August 7, 2018
SHIRIKA LA WORLD VISION TANZANIA, TAASISI YA AMARANTH NA ECHO WAKUTANISHA WATAALAMU MASUALA YA AFYA NA LISHE KWENYE KONGAMANO LA LISHE MAENEO KAME NCHINI
Monday, August 6, 2018
WANANCHI WAVUTIWA BANDA LA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII VIWANJA VYA MAONYESHO YA NANE NANE NJIRO ARUSHA
Afisa Mwandamizi wa Utalii Mamlaka ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro Gibson Olemtara akimsikiliza mmoja wa wananchi waliotembelea kwenye banda la Wizara ya Maliasili na Utalii Viwanja vya Maonyesho ya Nane Nane Njiro Arusha ambapo Mashirika yaliyopo chini ya Wizara hiyo yamepiga kambi kwenye banda hilo kwa ajili ya kukithi kiu za wananchi kuhusu utalii.
WAKULIMA WALIOTEMBELEA BANDA LA TAHA MAONYESHO YA NANE NANE NJIRO WAAHIDI MAKUBWA KWENYE MASHAMBA YAO
Baadhi ya wananchi wakiwa katika Banda la Asasi kilele ya sekta binafsi inayojishughulisha na kuendeleza tasnia ya horticulture nchini Tanzania (TAHA), kwenye Viwanja vya Maonyesho ya Nane Nane Njoro Arusha yanayojumuisha Mikoa ya Kanda ya Kaskazini.
TANESCO YAWAONYA WACHAKACHUAJI WA MITA MIAKA MITANO JELA ITAWAHUSU
Msimamizi wa Kitengo cha Mita Mkoa wa Arusha, Charles John.
NA MWANDISHI WETU-ARUSHA
SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO), limewataka wananchi wa mikoa
ya Kaskazini kujiepusha na vitendo vya kuchakachua Mita za umeme kwani
atakayekutwa ametenda kosa hilo atafungwa jela miaka mitano.
Friday, August 3, 2018
KAMPUNI YA PETROBENA WASAMBAZAJI WA PEMBEJEO NCHINI WAANZA KUTEKELEZA KWA VITENDO AGIZO LA RAIS MAGUFULI.
MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA PETROBENA EAST AFRICA LIMITED PETER KUMALILWA MWENYE KIPAZA SAUTI ALIYESIMAMA AKIELEZEA MIPANGO YA KAMPUNI HIYO KATIKA KUMKWAMUA MKULIMA WA TANZANIA.
MOROGORO
Na William Bundala.
KAMPUNI ya usambazaji ya Pembejeo ya PETROBENA EAST AFRICA LTD imeanza kuunga mkono kwa vitendo Juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungwano wa Tanzania Mh John Pombe Magufuli kwa kuhakikisha wanafikisha pembejeo za kilimo kwa wakati kwa wakulima nchini.
Friday, July 27, 2018
FREEDOM HOUSE YAWAWEZESHA WANAHABARI WA MITANDAO YA KIJAMII KUHUSU MBADALA WA UPASHANAJI NA UPATIKANAJI HABARI -ALTERNATIVE MEDIA
Wednesday, July 18, 2018
WATUHUMIWA WA UJANGIRI WAKAMATWA WAKIWA NA MAGOBOLE.
Gobole lililotengenezwa na watuhumiwa wa ujangiri wilayani Uvinza
Watuhumiwa manne wa ujangili wamekamatwa na bunduki aina ya
gobole na zana mbalimbali za kutengeneza silaha hizo wilayani Uvinza mkoani
Kigoma.
Friday, July 13, 2018
WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI WA KAMPUNI YA MWIBA HOLDING
Mmoja wa Wakurugenzi Kampuni ya Mwiba Holdings, Abdukadir
Mohammed akielezea mipango ya uwekezaji wa kampuni hiyo wilayani Meatu mbele ya
wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa Manyara waliopotembelea kampuni hiyo.
WANANCHI
wa Mkoa wa Simiyu, Arusha, Mara, Shinyanga na Mwanza wametakiwa kuchangamkia
fursa zinazotokana na uwekezaji unaofanywa na Kampuni ya Kitalii ya Mwiba
Holding Ltd katika Pori la Akiba Maswa.
Mpaka sasa Taasisi ya Friedkin Conservation Fund (FCF), inayoendesha
Kampuni za Mwiba Holding, Tanzania Game Trackers Safaris(TGTS) na Wingert
Safaris imewekeza zaidi ya Sh Bilioni 670 katika maeneo tofauti ya kitalii
nchini.
Subscribe to:
Posts (Atom)