Showing posts with label KIGOMA. Show all posts
Showing posts with label KIGOMA. Show all posts

Wednesday, July 18, 2018

WATUHUMIWA WA UJANGIRI WAKAMATWA WAKIWA NA MAGOBOLE.



Gobole lililotengenezwa na watuhumiwa wa ujangiri wilayani Uvinza

Watuhumiwa manne wa ujangili wamekamatwa na bunduki aina ya gobole na zana mbalimbali za kutengeneza silaha hizo wilayani Uvinza mkoani Kigoma.

Wednesday, September 27, 2017

WAJUMBE WA BODI YA WADHAMINI WAKIONGOZWA NA MWENYEKITI WA BODI JENERALI MSTAAFU GEORGE WAITARA KUTEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA GOMBE AMBAPO PAMOJA NA MAMBO MENGINE WALIPOKEA TAARIFA UTENDAJI KUTOKA KWA MKUU WA HIFADHI DONATUS BAYONA

 Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), wakiwa katika picha ya pamoja 
 Mwenyekiti wa Bodi Jenerali Mstaafu George Waitara akipiga picha kwa ajili ya kumbukumbu zake katika baadhi ya maeneo