Showing posts with label MOROGORO. Show all posts
Showing posts with label MOROGORO. Show all posts

Tuesday, September 18, 2018

MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI (TAWA) NA MKWAWA HUNTING SAFARIS WAIMARISHA DORIA PORI LA AKIBA SELOUS

Baadhi ya magari ya Kampuni ya uwindaji wa kitalii ya Mkwawa Hunting Safaris yanayotumiwa katika doria ndani ya Pori la Akiba Selous, Kanda ya Kaskazini Magharibi-Msolwa wilayani Kilombero mkoani Morogoro. Pori hilo linasimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) 

Friday, August 3, 2018

KAMPUNI YA PETROBENA WASAMBAZAJI WA PEMBEJEO NCHINI WAANZA KUTEKELEZA KWA VITENDO AGIZO LA RAIS MAGUFULI.


MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA PETROBENA EAST AFRICA LIMITED PETER KUMALILWA MWENYE KIPAZA SAUTI ALIYESIMAMA AKIELEZEA MIPANGO YA KAMPUNI HIYO KATIKA KUMKWAMUA MKULIMA WA TANZANIA.

MOROGORO

Na William Bundala.
KAMPUNI ya usambazaji ya Pembejeo ya PETROBENA EAST AFRICA LTD imeanza kuunga mkono kwa vitendo Juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungwano wa Tanzania Mh John Pombe Magufuli kwa kuhakikisha wanafikisha pembejeo za kilimo kwa wakati  kwa wakulima nchini.

Friday, July 27, 2018

FREEDOM HOUSE YAWAWEZESHA WANAHABARI WA MITANDAO YA KIJAMII KUHUSU MBADALA WA UPASHANAJI NA UPATIKANAJI HABARI -ALTERNATIVE MEDIA

SHIRIKA la Kimataifa la Freedom House linaendesha mafunzo kwa waandishi wa habari wa mitandao ya kijamii 'bloggers' kutoka mikoa mbalimbali nchini kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa namna ya kuendesha vyombo hivyo vya habari mbadala katika upashaji na upatikanaji wa habari, (Alternative Media).