Tuesday, September 18, 2018

MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI (TAWA) NA MKWAWA HUNTING SAFARIS WAIMARISHA DORIA PORI LA AKIBA SELOUS

Baadhi ya magari ya Kampuni ya uwindaji wa kitalii ya Mkwawa Hunting Safaris yanayotumiwa katika doria ndani ya Pori la Akiba Selous, Kanda ya Kaskazini Magharibi-Msolwa wilayani Kilombero mkoani Morogoro. Pori hilo linasimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) 

Mtaalamu wa uwindaji wa kitalii kutoka Kampuni ya Mkwawa Hunting Safaris Jamil Jamal Abdallah akielezea namna utalii huo unavyofanywa ikiwa ni pamoja na hatua muhimu zinazopaswa kuchukuliwa mbele ya wanahabari waliotembelea Pori la Akiba Selous Kanda ya Kaskazini -Msolwa wilayani Kilombero mkoani Morogoro.
Mwandishi wa habari na mpiga picha wa Kituo cha Televisheni ya Channel Ten Aristides Dotto akisisitiza jambo mbele ya Mratibu wa safari za uwindaji wa kitalii Kampuni ya Mkwawa Hunting Safaris Benson Kibonde (kulia), wakati wa ziara ya wanahabari iliyolenga kutembelea shughuli za uhifadhi ndani ya Pori la Akiba Selous na kuona mchango wa uwindaji katika uchumi wa taifa. 
Mratibu wa safari za uwindaji wa kitalii kutoka Kampuni ya Mkwawa Hunting Safaris Benson Kibonde, akifafanua jambo umuhimu wa kiuhifadhi na kiuchumi kutoka kwenye uwindaji wa kitalii kwa wanahabari waliotembelea Pori la Akiba Selous Kanda ya Kaskazini -Msolwa wilayani Kilombero mkoani Morogoro 
 Mtaalamu wa uwindaji wa kitalii kutoka Kampuni ya Mkwawa Hunting Safaris Jamil Jamal Abdallah akimpa maelekezo ya kutumia darubini mwandishi wa habari kutoka Kituo cha Televisheni cha Star Tv mkoani Arusha Beatrice Gerald wakati wa ziara ya wanahabari waliotembelea Pori la Akiba Selous Kanda ya Kaskazini Magharibi- Msolwa wilayani Kilombero mkoani Morogoro. 
 Mtaalamu wa uwindaji wa kitalii kutoka Kampuni ya Mkwawa Hunting Safaris Jamil Jamal Abdallah akifurahia kuona wanyama aina ya Viboko akiwa na Mwandishi wa habari Kituo cha Televisheni cha Channel Ten mkoani Arusha Jamilah Omar wakati wa ziara ya wanahabari waliotembelea Pori la Akiba Selous Kanda ya Kaskazini Magharibi- Msolwa

 Mtaalamu wa uwindaji wa kitalii kutoka Kampuni ya Mkwawa Hunting Safaris Jamil Jamal Abdallah akiwa na Mwandishi wa habari Kituo cha Televisheni ya Taifa (TBC), mkoani Tanga Bether Mwambelwa wakati wa ziara ya wanahabari waliotembelea Pori la Akiba Selous Kanda ya Kaskazini Magharibi- Msolwa wilayani Kilombero mkoani Morogoro

 Afisa wanyamapori wilaya ya Kilombero Madaraka Aman akifafanua jambo kwa wanahabari kuhusu shughuli mbalimbali za uhifadhi na wanyamapori zinazofanyika wilayani humo ikiwamo uwindaji wa kitalii. 
Meneja Mradi Pori Tengefu la Kilombero Linus Chuwa akielezea shughuli zinazofanyika kwenye pori hilo mbele ya wanahabari wilayani Kilombero mkoani Morogoro
Kwa mbali ni muonekano wa baadhi ya majengo ya kambi ya uwindaji wa kitalii ya Mkwawa Hunting Safaris iliyopo ndani ya Pori la Akiba Selous Kanda ya Kaskazini Magharibi -Msolwa wilayani Kilombero mkoani Morogoro.
Moja ya majengo ya Kambi ya uwindaji wa kitalii ya Mkwawa Hunting Safaris kambi hiyo inatajwa kuwa kambi bora nchini kufikia watalii ambapo moja ya viongozi waliowahi kufika eneo hilo kwa ajili ya uwindaji ni Mfalme Mswati 

No comments:

Post a Comment