Thursday, March 1, 2018

WORLD VISION TANZANIA WAZINDUA KAMPENI YA KUPIGA VITA MIMBA ZA UTOTONI WILAYANI LONGIDO

Mkuu wa wilaya ya Longido mkoani Arusha, Daniel Chongolo akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kupinga mimba za utotoni inayoendeshwa na Shirika la World Vision Tanzania

 Mkuu wa wilaya ya Longido mkoani Arusha, Daniel Chongolo akizungumza na Hakimu wa Mkazi wa Mahakama ya wilaya ya Londigo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kupiga vita ndoa za utotoni inayoendeshwa na Shirika la World Vision Tanzania 
 Baadhi ya washiriki wa uzinduzi wa kampeni ya kupiga vita ndoa za utotoni wilayani Longido mkoani Arusha wakisikiliza baadhi ya mada zilizokuwa zikiwasilishwa 

 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Longido wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kupiga vita ndoa za utotoni wilayani humo inayoendeshwa na Shirika la World Vision Tanzania 
 Wanafunzi wa Longido Sekondari wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kupiga vita ndoa za utotoni inayoendeshwa na Shirika la World Vision Tanzania 
 Afisa Afya, Lishe na Mazingira katika Shule wilayani Longido akiwasilisha taarifa za mimba katika shule za Msingi na Sekondari kwa kipindi cha mwaka 2016 na 2017 
 Mratibu wa Afya ya Uzazi na Mtoto wilaya ya Longido mkoani Arusha Josiah Mruve akiwasilisha fupi ya athari fupi za mimba za utotoni wilayani Longido katika kipindi cha mwaka 2017
 Inspector wa Jeshi la Polisi wilayani Longido mkoani Arusha Barton Kamwaya akizungumza kuhusu mashitaka kuhusu mimba yanayowasilishwa Dawati la Jinsia 
 Afisa Ustawi wa Jamii wilaya ya Longido akiendelea halisi ya tatizo la mimba wilayani humo 
 Baadhi ya maofisa wa Shirika la World Vision Tanzania, Jeshi la Polisi na Halmashauri ya wilaya ya Longido wakiwa na wanafunzi wa Shule ya Msingi wakati wa uzinduzi rasmi wa Kampeni ya kupiga vita ndoa za utotoni wilayani humo 
 Baadhi ya maofisa wa Shirika la World Vision Tanzania, Jeshi la Polisi na Halmashauri ya wilaya ya Longido wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kampeni hiyo wakiwamo wadau kutoka mashirika yasiyo ya serikali.
Kaimu Meneja wa Shirika la World Vision Tanzania Kanda ya Kaskazini Lucy Kyungu akitoa ufafanuzi wa malengo ya shirika katika kampeni ya kupiga vita ndoa za utotoni pamoja na ukatili mwingine
Martibu wa Mradi wa Kitumbeine kupitia Shirika la World Vision Tanzania Elisei Chilala akizungumza na wanahabari juu ya kampeni hiyo ya kupiga vita ndoa za utotoni.

No comments:

Post a Comment