Thursday, March 1, 2018

DAKTARI: WAZAZI PANGENI MAANDALIZI UJIO WA UJAUZITO KWA MAMA

Maganga Mkuu wa Hospitali ya wilaya ya Monduli Dk. Titus Mmasi akimkabidhi mmoja wa washiriki ya mafunzo ya Uhudumu wa Afya katika Jamii kuhusiana na Huduma za Afya ya mama, na mtoto chini ya miaka mitano Vitabu vya taarifa mbalimbali kwa ajili ya kazi katika Tarafa ya Kisongo wilayani humo kuchimba vyoo. Mafunzo hayo yalitolewa na Wizara ya Afya kwa kushirikiana na World Vison Tanzania kupitia mradi wake wa Kisongo Makuyuni ulioshirikisha watoa huduma ngazi ya kijiji 26

 Baadhi ya washiriki wa Mafunzo ya Uhudumu wa Afya katika Jamii kuhusiana na Huduma za Afya ya mama, na mtoto chini ya miaka mitano
 Baadhi ya washiriki wa Mafunzo ya Uhudumu wa Afya katika Jamii kuhusiana na Huduma za Afya ya mama, na mtoto chini ya miaka mitano
Afisa Afya wilaya ya Monduli Jubilate Temu akizungumza Afya ya usafi pamoja choo 

 Mkufunzi wa Mafunzo hayo Dennis Madeleke akielezea namna mafunzo yalivyofanikiwa 
  Mkufunzi wa Mafunzo hayo Mariam Mwita akielezea namna mafunzo yalivyofanikiwa 

Mganga Mkuu wa Hospital ya wilaya ya Monduli Dk. Titus Mmasi akikabidhi vitendea kazi kwa washiriki wa mafunzo hayo kulia kwake ni Mratibu wa Shirika la World Vision Tanzania, Kanda ya Babati mkoani Manyara Joan Msuya

Mratibu wa Shirika la World Vision Tanzania, Kanda ya Babati mkoani Manyara Joan Msuya akifafanua jambo kwa wanahabari wakati wa kufunga mafunzo hayo mjini Makuyuni 

No comments:

Post a Comment