Thursday, March 1, 2018

WAMILIKI WA MIGODI YA TANZANIA WAKUTANA KUJADILI AGIZO LA MKUU WA MKOA WA MANYARA ALEXANDER MNYETI

 Mwenyekiti wa Chama cha Wachimbaji wa Madini Mkoa wa Manyara (MAREMA), Sadick Mneney akizungumza wakati wa kikao kilichoshirikisha wamiliki wa migodi ya Tanzanite iliyopo Mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, kulia kwake ni Mwenyekiti wa Tawi la Mirerani Jaffari Bakari Faraj (Matambi) na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Simanjiro Awadh Omar

 Baadhi ya wamiliki wa migodi ya Tanzania iliyopo mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara wakimsikiliza Mwenyekiti wa MAREMA Sadick Mneney aliyekuwa akizungumza wakati wa kikao cha kujadili maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara aliyetembelea katika migodi hiyo hivi karibuni.

Viongozi wa MAREMA wakiwasikiliza hoja kutoka wa wamiliki wa migodi ya Tanzania wakati wa mkutano wao uliolenga kujadili baadhi ya maagizo yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti

Mmoja wa wamiliki wa mgodi wa Tanzanite akichangia mjadala wa maagizo yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti aliyefanya ziara ya kikazi kwenye migodi hiyo hivi karibuni na kutoa maagizo kwa wamiliki hao 

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara akichangia hoja kwenye mkutano huo 

No comments:

Post a Comment