Thursday, February 8, 2018

WORLD VISION TANZANIA NA HEALTH INTEGRATED MULTISECTORAL SERVICES (HIMS) WAADHIMISHA SIKU YA KUPINGA UKEKETAJI

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nanja iliyopo wilayani Monduli mkoani Arusha wakishiriki maandamano ya kupinga ukeketaji wakati wa maadhimisho ya Siku ya kupinga vitendo vya ukatili na ukeketaji kwa watoto wa kike duniani yaliyoandaliwa na Shirika la World Vision na Asasi ya HIMS

Baadhi ya viongozi wakipokea mabango ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Nanja iliyopo wilayani Monduli wakati wa maadhimisho ya Siku ya kipinga ukeketaji iliyofanyika kwenye shule hiyo
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nanja iliyopo wilayani Monduli mkoani Arusha wakiwa kwenye maadhimisho ya Siku ya kupinga ukeketaji iliyofanyiak shuleni hapo
Baadhi ya washiriki wa maadhimisho ya Siku ya kupinga ukeketaji wakiwa mangari walioachana na kazi hiyo baada ya kupatiwa elimu na asasi mbalimbali wakisikiliza mada zilizokuwa zikitolewa kwenye maadhimisho hayo yaliyofanyika Shule ya Msingi Nanja wilayani Monduli mkoani Arusha
Mratibu na Mwezeshaji wa miradi mbalimbali kutoka World Vision Tanzania, Dennis Kweka anayefanya kazi na shirika hilo katika Tarafa ya Kisongo na Makuyuni wilayani Monduli mkoani Arusha akizungumza na washiriki wa maadhimisho hayo ya kupinga ukeketaji 
Diwani wa Kata ya Mto wa Mbu wilayani Monduli Sara Lomayan akizungumza na washiriki wa maadhimisho hayo 
Baadhi ya waliokuwa mangariba wakiwa kwenye picha wakati wa maadhimisho ya siku kupinga vitendo vya ukatili na ukeketaji kwa watoto wa kike  
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nanja wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Wolrd  Vision wakati wa maadhimisho ya Siku ya kupinga vitendo vya ukatili na ukeketaji kwa watoto wa kike
Mgeni rasmi Diwani wa Kata ya Mto wa Mbu Sara Lomayan akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa asasi za HIMS na World Vision, pamoja na maofisa wa jeshi la polisi na Ustawi wa Jamii wilaya ya Monduli wakati wa maadhimisho ya siku ya kupinga vitendo vya ukatuli na ukeketaji yalitofanyika Shule ya Msingi Nanja.

No comments:

Post a Comment