1 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Selemani
Jafo (kulia) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri yaArusha Dc Wilson
Mahera pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Amina Mollel kwa kusimamia
ujenzi wa miundombinu ya Afya kwenye Kituo cha Afya Nduruma kilichopo wilaya ya
Arumeru mkoani Arusha.
Hili ni jengo la wodi ya
Kinamama ni mojawapo ya majengo yanayoendelea kujengwa katika uboreshaji wa
kituo cha Afya Nduruma.Tuesday, January 2, 2018
WAZIRI WA TAMISEMI SULEIMAN JAFO AZINDUA UJENZI KITUO CHA AFYA NDURUMA -ARUSHA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Selemani
Jafo akizungumza na wananchi wa Kata ya Nduruma kwenye mkutano wa hadhara
(hawapo pichani) baada ya kuweka jiwe la Msingi kwenye ujenzi wa Kituo cha Afya
Nduruma, wilayani Arumeru mkoani Arusha.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Selemani
Jafo(katikati mbele) akisimikwa kuwa Chifu wa Kimaasai maarufu kama Leigwanani
wakati wa ziara yake katika kituo cha Afya Nduruma ambapo aliweka jiwe la
msingi katika ujenzi wa miundombinu ya Afya.
Viongozi wa Halmashauri hiyo wakimskiliza
Waziri wa Nchi Selamani Jafo akizungumza na wananchi wa kata ya Nduruma.
Labels:
ARUSHA NEWS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






No comments:
Post a Comment