Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini (TAWA), Dk. James Wakibara akiwa nje ya Ofisi za Pori la Akiba Mkungunero wilayani Kondoa mkoani Dodoma wakati wa ziara yake ya kutembelea pori hilo likiwamo pia Pori la Akiba Swaga Swaga
Meneja wa Pori la Akiba Swaga Swaga lililopo wilaya ya Kondoa na Chemba mkoani Dodoma Alex Choya akiwa na askari wake kwenye moja ya mipaka inayotenganisha pori hilo hivi karibuni
Meneja wa Pori la Akiba Swaga Swaga lililopo wilaya ya Kondoa na Chemba mkoani Dodoma Alex Choya akihojiwa na Mwandishi wa habari kutoka Clauds Beatrice Gerald
Kaimu Mkurugenzi anayesimamia rasilimali za wanyamapori TAWA David Kanyata akihojiwa na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali waliotembelea Pori la Akiba Swaga Swaga mkoani Dodoma
Askari wanyamapori wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini (TAWA) akionyesha maofisa wa Mamlaka hiyo michoro ya aina mbalimbali inayopatikana kwenye miamba iliyomo ndani ya Pori la Akiba Swaga Swaga mkoani Dodoma
Meneja wa Pori la Akiba Swaga Swaga Alex Choya akiwaongoza baadhi ya maofisa wa TAWA kuangalia michoro ya kale inayopatikana kwenye pori hilo iliyokuwa ikichorwa na watu wa kabila la Wasandawwe walioshi maeneo hayo kabla ya kuanza kuhifadhiwa
Meneja wa Pori la Akiba Swaga Swaga Alex Choya akionyesha michoro ya kale
Sehemu ya michoro ya kale iliyochorwa na wenyeji wa kabila la Wasandawe takribani miaka 200 iliyopita ndani ya Pori la Akiba Swaga Swaga
Mkurugenzi Mkuu wa TAWA Dk. James Wakibara akitoa maelezo ya michoro hiyo ya kale ndani ya Pori la Akiba Swaga Swaga lililopo wilaya ya Kondoa na Chemba mkoani Dodoma
Mkurugenzi Mkuu wa TAWA Dk. James Wakibara akitoa maelezo ya michoro hiyo ya kale ndani ya Pori la Akiba Swaga Swaga lililopo wilaya ya Kondoa na Chemba mkoani Dodoma
Mkurugenzi Mkuu wa TAWA Dk. James Wakibara wakati wa mahojiano na vyombo vya habari
Mkurugenzi Mkuu wa TAWA Dk. James Wakibara kulia akijadiliana jambo na Mwandishi wa habari kutoka Channel Ten Aristide Dotto wakati wa ziara ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali waliokuwa wametembelea Pori la Akiba Swaga Swaga mkoani Dodoma
Meneja wa Pori la Akiba Mkungunero wa kwanza kulia Emmanuel Biraso, Meneja Pori la Akiba Swaga Swaga Alex Choya katikati wakiwa na Afisa wanyamapori Mkuu Seth Ayo wakiangalia moja ya vivutio vinavyopatikana kwenye Pori la Akiba Swaga Swaga mkoani Dodoma
Mkurugenzi Mkuu wa TAWA Dk. James Wakibara (wa saba waliosimama) akiwa katika [ocha ya pamoja na maofisa wa TAWA, askari na wanahabari waliotembelea Pori la Akiba Swaga Swaga lililopo mkoani Dodoma hivi karibuni
No comments:
Post a Comment