Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangala akizungumza na wajumbe wa Bodi mpya ya Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) alipokuwa akizindua rasmi shughuli za bodi hiyo mjini Arusha, kushoto ni Mhifadhi Mkuu wa NCAA na Katibu wa Bodi hiyo Dk. Freddy Manongi na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi Professa Abiud Kaswamila.
Baadhi ya wajumbe wa Bodi mpya ya Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) wakimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangala alipokuwa akizungumza nao mjini Arusha wakati wa uzinduzi rasmi wa bodi hiyo
Baadhi ya wajumbe wa Bodi mpya ya Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) wakimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangala alipokuwa akizungumza nao mjini Arusha wakati wa uzinduzi rasmi wa bodi hiyo
Mwenyekiti wa Bodi Professa Abiud Kaswamila akitoa neno la shukrani wakati wa uzinduzi wa Bodi hiyo mjini Arusha
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangala akimkabidhi vitendea kazi Mhifadhi Mkuu wa NCAA Dk. Freddy Manongi ambaye ni Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi wa NCAA
Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangala akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi mpya aliyoizindua mjini Arusha
Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangala akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi mpya na Menejimenti ya NCAA mjini Arusha
Mhifadhi Mkuu wa NCAA Dk. Manongi akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Bodi mpya ya Wakurugenzi waliokuwa wakiangalia eneo linalodaiwa kuwa na mgogoro baada ya kuvamiwa na wakazi 83 kujenga nyumba za kuishi Njiro mjini Arusha
Waziri Dk. Kigwangala akiwa na wajumbe wa Bodi mpya wakitembelea eneo hilo mara baada ya kuzindua rasmi shughuli za bodi hiyo mjini Arusha
HOTUBA YA MHESHIMIWA MHE.
DKT HAMISI KIGWANGALA (MB),WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, YA UZINDUZIWA BODI
YA WAKURUGENZI WA MAMLAKA YA HIFADHI YA ENEO LA NGORONGORO, TAREHE 3/2/2018
ARUSHA.
·
WaheshimiwawajumbewaBodimpyayawakurugenziwaMamlakayahifadhiyaEneo
la Ngorongoro.
·
NaibuWahifadhiwaMamlakayaHifadhiyaEneo
la Ngorongoro,
·
MamenejawaIdarambalimbalizaMamlakayaHifadhiya
Ngorongoro
·
WageniWaalikwa,
·
MabibinaMabwana
HabarizaAsubuhi,
Kwanza kabisaninapendakumshukuruMwenyeziMungumwenyerehemanyingikwakunijaliaafyanauhainakuniwezeshakushirikikwenyehaflahiiyaufung
Nachukuafursahiikuwapongezawajumbewotekwauteuziwao.
Uteuzihuunimakininaumelengakuhakikisha kuwabodiitawezeshakuendelezwaeneohili
la matumiziyamseto la Ngorongoro.
TokaianzishweMwaka 1959
kamaeneo la matumiziyaArdhimseto mambo mengisanayamebadilika.
Mabadilikoyahaliyahewa, hasaukameumeongezeka,
idadiyawenyejiimeongezekakutokatakribantokawatu 8,000 mwaka 1959 hadi 93,000
mwakahuuwa 2018, mifugoimeendeleakubadilikapia (ipoinayozaliwanakufa, ipoinayoingiahifadhininakutoka),
idadiyawanyamaporivilevileimekuwaikibadilikakutokananasababumbalimbali,
mfumowamaishayabinaadamusiokamaulewa 1959, na mambo
menginemengiyamebadilikalakinieneobadolinaukumbwauleule 8,292.
NingependasanakuipongezaBodiiliyopitakwakuboreshakwakiasikikubwauhifadhinautalii,
nahasakuongezamapatokwaMamlaka, toka TZS 60 bilionihadikufikia TZS 102 bilioni,
pamojanakwambaidadiyawagenikubakiaileile. Ni imaniyangukuwaBodihiiitandeleakufanyamabadilikoyakuongezaidadiyawageninamapatokwamamlaka.
Bodiiliyopita vile
vileimewekamisingiyakutatuachangamotozakimsingizakimfumowaeneo la matumizimseto.
Bodiilitengenezanakukamilishampangomkakatiwamaendelelowashirikawamiaka 5 (CSP) nabaadaekuanzakutengenezampangowausimamiziwaeneo
(General Management Plan) wamiaka 10.
Pia bodiiliwezeshazoezi la
kuhesabumifugonamakazinakutafutatakwimuzakiuchumizawenyejiwaEneo la Hifadhi la
Ngorongoro (NCA) .Imefanikishazoezi la kuwekaalamakwenyemifugonakuanzakutengenezavitambulishovyaukaziwandaniyaeneo
la Ngorongoro (NCA) kwawenyeji.
Ni jukumusasa la
Bodihiikuhakikishakwambampangomkakatiwamitanowamaendelelowashirika (CSP) unatekelezwakutatuachangamorozakikiseranakisheriazaeneo
la matumizimseto, nakuhakikishaMpangowausimamiziwaeneo(GMP) unakamilikanakuwekezakwenyemifumoitakayohakikishiauweponauendelevuwawauhifadhinautaliiwaeneno
la hifadhi la Ngorongoro (NCA) pamojanautendajikaziwenyeufanisinaunaozingatiasherianataratibuwashirika
la mamlakayahifadhiya Ngorongoro NCAA.
Pia
nategemeaBodihiiitafanyatathminiyasensaya 2017 yaShirika la Takwimu la Taifa (National
Bureu of Statistics [NBS])nakutengenezamifumoendelevukuboreshamaishayawenyejindaniyahifadhi.
Badojamiiinakabiliwanachangamotonyingikamanjaa, magonjwa, elimuduni,
makaziduni, naumasikini, hivyotathiminiyatakwimuitumikekatikakuwekamifumoendelevuyakisera kutatuachangamotohizi,
pamojanakuanzakujengamiundombinukamashulezabweninjeyaEneo la Hifadhiya
Ngorongoro.
Ningependakupongezabodizilizopitakwakuanzakufanyiauwekezajikwenyemaeneomengine
Zaidi yautaliiyanayowezakuongezeamapatoshirika nan chi kwaujumla. Nina
fahamukuwa NCAA imewekezaKamyn Estate, Njiro Estate na JKNT Arusha mjini.
Nimeelezwakwambasababukubwayakutakakuwekezakwenye ‘real estate’ nikwa ‘fragility’
yabiasharayautaliiyenyematishiomengiambayoyakonjeyauwezowanchi.
Asilimiatakriban 99.9% yamapatoya NCAA yanategemeautaliihuu, nakamakutakuwanashidayoyoteitakayopelekeautaliikushuka,
NCAA itashindwakufanyashughulizakiuhifadhi, kuboreshautalii, nakuhudumiajamii.
Jengo la JKNT
likokatikahatuazamwishozakukamilika, naagizaBodiiweke sera
nataratibuilikuhakikishajengohiloniendelevunalinakuanatijakwamamlakananchi,
namkopounalipwakatikakipindikilichokubalika. Pia bodiiweke sera mpyayauwekezajikwenyemaeneoyanjironakamyn,
uwekezajiuwemakini, wenyetijana ‘risks’ kidogo. Pia mgogorokatiya NCAA na TTB
kuhusukiwanja cha Njiroutatuliwenakuishakatikakipindi cha miezisita,
WizarailishatoamuongozokwaBodinamnayakutatuamgogorohuu.
Vile vileBodiiliyopitaimefanyaKazikubwananzuriyakuongezawigowautaliikwakuanzishanakuwekezakwenyeutaliiwautamaduninaMiamba
(cultural and Geo – Tourism. Nimeonamakumbushoyakisasayenyeonyesho la kudumu la
chimbuko la mwanadamupamojanamazingirayaliyoandaliwavizurikupatahadhiyakimatifaya
UNESCO katikaeneno la utaliiwamiamba (UNESCO GLOBAL GEOPARK STATUS),
Nafahamushirikalinaendelelanamipangoyakuendelezaeneo la
nyayozazamadamuwalaetoli.NaagizaBodihiikukamilishamiradihiiiliyoendeleapamojanakubuninyongezayashughulizakitaliikatikaenenohili.
Nafahamueneohililitahitajirasilimalifedhanyinginamashirikianoyakutoshandaninanjeyanchiilikupatauzoefustahilinamleteuborautakaoendananaviwangovyakimataifakihifadhinakitalii.
Vile vilekunamaeneomengi,
makubwa, mazuri, muhimunayenyethamanikubwayanayozungukaeneo la NCA lakinitaasisihusikazimeshindwakuongezathamaniyamaeneohayo.MaeneokamaEngaruka,
Engaresero, Natron, Loliondo, EyasinaMlimaOldonyolengaiyanathamanikubwasanaambayobadohaijavunwanasasayamekuwahatakatikahartariyakutowekanayamekuwaviinivyamigogoroyakilasikuinayoendeleakuwaumizawananchibadalayakuwa
Baraka kwao.Ni jukumu la bodikujana sera
zitakazoongezathamaniyamaeneohayoilikuisaidiaserikalikuhifadhivizuripamojanakuiongezeaserikalimapatokwafaidayawatanzaniawote,
kwabaadhiyamaeneo, hususaniyaliyopochiniyaidarayamambokalenimeagizayawechiniyausimamiziwa
NCAA.
Bodinichomba cha kisera,
namenejimentinichombo cha utendaji. Lazimakuwenamipakakatiyautungajiwasera
nautendaji. Ni
matumainiyangukuwaBodiItakuwainatoamaelekezoyakiseranainaulizamaswaliyakiserakupitiavikaovyakevinnekwamwaka.
Menejimentikwaupande wake itawajibikakujibumaswaliyakiserayaBodinakupelekamapendekezoyakiserakwenyebodi.
Bodimtambuenafasiyenuyakiserailimjikitehumonakuwezeshaufanisinauendelevuwaeneno
la hifadhi la Ngorongoro kwasasanakwasikunyingizijazo. Nashauriyatolewemafunzoyaki serakwaBodinayakiutendajikwamenenimentikwapamojailikilasehemuifahamunakutekelezamajukumuyakekwakuzingatiakaulimbiuya
“HAPA NI KAZI TU”kamainavyotajiwanaserikalihiiyaawamuyatano.
Nawatakikila la herikatikautekelezajiwamajukumuyenu
Asantenikwakunisikiliza
No comments:
Post a Comment