Monday, January 8, 2018

KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI ATEMBELEA KIWANDA CHA LODHIA PLASTIC MJINI ARUSHA

Mkurugenzi wa Kiwanda cha Lodhia Plastic kilichopo mjini Arusha, Sailesh Pandit akimkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo aliyetembelea kiwanda hicho ili kujionea ubora wa bidhaa zinazolishwa kiwandani hapo, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo

Mkurugenzi wa Kiwanda cha Lodhia Plastic kinachotengeneza mabomba ya maji na bidhaa nyingine za plastiki Sailesh Pandit (katikati), akimuelezea jambo Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo aliyetembelea kiwanda hicho, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo aliyenyoosha mkono akielekeza jambo wakati wa ziara yake kwenye Kiwanda cha Lodhia Plastic kinachotengeneza mabomba ya maji. 
Mkurugenzi wa Kiwanda cha Lodhia Plastic (kulia), Sailesh Pandit akimtembeza Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo aliyetembelea kiwanda hicho ili kujionea uzalishaji na ubora wa bidhaa zinazozalishwa kiwandani hapo.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo (wa pili kushoto), akishika bomba la maji kwenye Kiwanda cha Lodhia Plastic akifuatiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo na Mkurugenzi wa kiwanda hicho Sailesh Pandit


Mkurugenzi wa Kiwanda cha Lodhia Plastic Sailesh Pandit (kulia), akimuonyesha Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo aliyenyoosha mkono namna uzalishaji unavyofanyika kiwandani hapo. 
Mkurugenzi wa Kiwanda cha Lodhia Plastic Sailesh Pandit aliyenyoosha mikono, akiwaonyesha Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo katikati na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo namna bomba hizo zinavyozalishwa
Sehemu za mabomba yanayozalishwa na Kiwanda cha Lodhia Plastic kilichopo mjini Arusha
 Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda hicho 

Ziara ya kukitembelea kiwanda hicho ikiendelea  

 Baadhi ya mashine za kutengeneza mabomba ya maji zikionekana pichani 

Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo kulia akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Lodhia Plastic (katikati) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mara baada ya kutembelea uzalishaji kiwandani hapo 
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo akizungumza na wanahabari

Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo akizungumza na wanahabari kulia kwake ni Mkurugenzi wa Kiwanda cha Lodhia Plastic Sailesh Pandit  

Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo akizungumza na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Lodhia Plastic Sailesh Pandit  
Mkurugenzi wa Kiwanda cha Lodhia Plastic Sailesh Pandit  Sailesh Pandit akizungumza na wanahabari mara baada ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo kutembelea kiwanda hicho

No comments:

Post a Comment