Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza na wajasiriamali na wafanyabiashara wa mkoani Arusha, kulia kwake ni Meneja wa CRDB Tawi la Arusha Chiku pamoja na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Hargeney Chitukoro
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Hargeney Chitukoro (katikati), pamoja na Meneja wa CRDB Tawi la Arusha Chiku kushoto pamoja na ofisa wa benki hiyo kulia wakifuatilia mkutano
Mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro aliyekuwa mgeni rasmi katika mkutano huo akizungumza na wafanyabiashara wa mkoani Arusha
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (kulia), akifurahia jambo wakati wa mkutano wa wajasiriamali na wafanyabiashara wa Arusha, kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro wakifurahia jambo
Mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro (wa tatu kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Dk. Charles Kimei wa pili kushoto pamoja na maofisa wa waandamizi wa benki hiyo
Mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Dk. Charles Kimei mara baada ya kufungua mkutano wa wafanyabiashara na wajasiriamali wa mkoani Arusha
Mkurugenzio wa mikopo wa CRDB James Mabula (kushoto) akibadilishana kadi za mawasiliano na Mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro mara baada ya kufungua mkutano wa wajasiriamali na wafanyabiashara wa Arusha
Afisa kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kassim akisalimiana na Mkurugenzi wa Mikopo wa Benki ya CRDB James Mabula
Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Dk. Charles Kimei akiwasilikiza kwa makini wanahabari wa mkoani Arusha wakati wa mkutano wa wajasiriamali na wafanyabiashara wa Arusha
Senior Manager SME&MID CORPORATE Elibariki Masuke akizungumza kwenye mkutano wa wajasiriamali na wafanyabiashara wa Arusha
Mkurugenzi wa Mikopo wa Benki ya CRDB James Mabula akijibu baadhi ya maswali yalikuwa yakiulizwa kwenye mkutano huo pembeni yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Dk. James Kimei
No comments:
Post a Comment