Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Selemani Jafo akizungumza na Kamishna wa Maadili Jaji Mstaafu Harold Nsekela wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu kitaifa mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Selemani Jafo akimkabidhi kitabu cha muongozo wa maadili na haki za binadamu Katibu Mtendaji Tume ya haki za binadamu na Utawala Mary Massay katika ukumbi wa mikutano Hazi na Mjini Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Selemani Jafo pamoja na baadhi ya viongozi kutoka katika taasisi mbalimbali za haki za binadamu na mwanafunzi wakionesha kitabu cha muongozo wa Maadili na haki za binadamu wakati wa Uzinduzi wa maadhimisho mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment