Mratibu wa Afya na Lishe Kanda ya Kaskazini wa World Vision Tanzania Lucy Kyungu akisoma taarifa ya utekelezaji wa mradi wa maendeleo Kitumbeine wakati wa maadhimisho ya Siku ya UKIMWI yaliyofanyika Kata ya Kitumbeine wilayani Longido mkoani Arusha.
Mgeni rasmi katika maadhimo hayo Afisa Maendeleo ya Jamii wilaya ya Longido Lotta Ole Jacob akizungumza na wananchi
Baadhi ya wananchi wa Kata ya Kitumbeine wilayani Longido mkoani Arusha wakifuatilia hotuba na maigizo yaliyotolewa kwenye maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kitumbeine wakifuatilia hotuba kwenye siku hiyo ya UKIMWI duniani
Wananchi wakifuatilia maadhimisho hayo
Mtaalamu wa maabara akichukua vipimo vya damu kutoka kwa mkazi wa Kata ya Kitumbeine wilayani Longido mkoani Arusha wakati wa Siku ya Ukimwi duniani
Kikundi cha Sanaa cha Naseriani kutoka Kata ya Kitumbeine wilayani Longido mkoani Arusha kikitumbuiza siku ya maadhimisho ya Ukimwi duniani yaliyofanyika kijijini hapo
Baadhi ya wafanyakazi wa Worls Vision Tanzania wakiendelea na shughuli za kufunga mabango kwenye eneo yalipofanyika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani
Akina mama kutoka kikundi cha Naseriani wakitoa elimu kuhusu vitendo vya ukatili wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani yaliyofanyika katika Kata ya Kitumbeine wilayani Longido mkoani Arusha
Maofisa wa World Vision Tanzania kutoka ofisi za Arusha, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani yaliyofanyika katika Kata ya Kitumbeine wilayani Longido mkoani Arusha
No comments:
Post a Comment