Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, Michael Lekule Laizer mwenye shati la mistari akiwa pamoja kulia mwenye kofia na Mwenyekiti mpya wa CCM wilaya ya Longido Joseph Ole Sadila wakati wa sherehe za kimila za kumpongeza
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha Michael Laizer akiongozana na baadhi ya viongozi wa Chama na mila wakati wa sherehe za kimila za kumpongeza Mwenyekiti mpya wa CCM wilaya ya Longido Joseph Ole Sadila
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha Michael Laizer, akiwa kiongozi wa Chama wilaya ya Longido kulia kwake, pamoja na Mkuu wa wilaya ya Longido Daniel Chongolo na Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya wilaya hiyo wakiangalia shughuli za kimila za kabila la Kimaasai wakati wa hafla ya kumpongeza Mwenyekiti mpya wa CCM Longido Joseph Ole Sadila
Mwenyekiti mpya wa CCM wilaya ya Longido kulia Joseph Ole Sadila akupongezwa
Mwenyekiti mpya wa CCM wilaya ya Longido mkoani Arusha Joseph Ole Sadila akizungumza
Mkuu wa wilaya ya Longido na Mjumbe wa Kamati ya siasa ya Chama hicho Daniel Chongolo akizungumza wakati wa hafla ya kimila ya kumpongeza mwenyekiti mpya wa CCM kulia Joseph Ole Sadila
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha Michael Lekule Laizer akizungumza wakati wa sherehe za kimila za kumpongeza Mwenyekiti mpya wa CCM wilaya ya Longido hayupo pichani
Baadhi ya wanajamii ya kifugaji wakitoa zawadi ya ndama kwa Mwenyekiti mpya wa CCM wilaya ya Longido mkoani Arusha Joseph Ole Sadila wa pili kulia wakati wa sherehe za kimila za kumpongeza
No comments:
Post a Comment