Mratibu Mkaazi wa Umoja Mataifa (UN) na
Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez
akizungumza na washiriki wa mkutano uliokutanisha Watendaji Wakuu (CEO) kutoka
mashirika na kampuni zilizopo kwenye binafsi.
Mratibu Mkaazi wa Umoja Mataifa (UN) na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez akizungumza na washiriki wa mkutano uliokutanisha Watendaji Wakuu (CEO) kutoka mashirika na kampuni zilizopo kwenye binafsi.
Mkuu wa Taasisi inayohusika kusimamia biashara
endelevu zinazozingatia kutunza mazingira na kuzuia rushwa kutumika katika
biashara (UN Global Compact), Lise Kingo akizungumza na washiriki mkutano uliofanyika jijini Arusha nchini Tanzania
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira Anthony Mavunde akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mkutano wa UN Global Compact), jijini Arusha nchini Tanzania.
Mratibu Mkaazi wa Umoja Mataifa (UN) na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez akizungumza na wanahawabari jijini Arusha nchini Tanzania
Mkurugenzi Mtendaji kutoka Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Godfrey Simbeye akizungumza na wanahabari hawapo pichani jijini Arusha nchini Tanzania
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zinawasilishwa kwenye mkutano wa UN Global Compact
Mkurugenzi Mtendaji wa TAHA inayojishughulisha na kilimo cha mbogamboga, matunda, viungo na maua nchini Jacqueline Mkindi akifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye mkutano wa Global Compact uliofanyika jijini Arusha nchini Tanzania
Washiriki wa mkutano wa UN Global Compact wakiwa katika picha ya pamoja jijini Arusha nchini Tanzania
No comments:
Post a Comment