Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la World Vision Tanzania Tim Andrews akizungumza na washirika wa mkutano wa mkutano huo unaojadili masuala ya huduma za upatikanaji wa maji safi na salama na Mazingira katika Ukanda wa Afrika Mashariki uliofanyika Hoteli ya Ngurdoto wilayani Arumeru mkoani Arusha
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kufungua mkutano wa Shirika la World Vision uliojadili shughuli zinazofanywa na Shirika hilo hususani maji na mazingira katika Ukanda wa Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Mradi wa Shirika la World Vision nchini Devocatus Kamara akizungumza na wahabari katika Hoteli ya Ngurdoto iliyopo wilayani Arumeru mkoani Arusha wakati wa mkutano wa mkutano huo unaojadili masuala ya huduma za upatikanaji wa maji safi na salama na Mazingira katika Ukanda wa Afrika Mashariki.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo kutoka katika nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki walioshiriki mkutano huo uliofanyika Hoteli ya Ngurdoto mkoani Arusha
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa unaojadili masuala ya huduma za upatikanaji wa maji safi na salama na Mazingira katika Ukanda wa Afrika Mashariki uliofanyika katika Hoteli ya Ngurdoto wilayani Arumeru mkoani Arusha.
No comments:
Post a Comment