TUNATEKELEZA-MERERANI WAPATIWA FEDHA ZA UBORESHAJI WA KITUO CHA AFYA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu Sera,
Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu Genesta Mhagama akimkabidhi Hundi
ya Sh milioni 200 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais–TAMISEMI Selemani Jaffo kwa ajili
ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mererani wakati wa uzinduzi wa namba maalum ya kuchangia
mfuko wa udhamini wa kudhibiti Ukimwi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa Selemani Jaffo akikabidhi hundi ya Sh milioni 200 kwa Mkuu
wa Mkoa wa Manyara Joel Bendera kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mererani;
Fedha hizo ni kutoka kwenye Mfuko wa udhamini wa kudhibiti ukimwi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa Selemani Jaffo (aliyesimama) akitoa neno la shukrani baada
ya kukabdhiwa Sh milioni 200 za Ujenzi wa Kituo cha Afya Mererani kutoka katika
Mfuko wa udhamini wa kudhibiti Ukimwi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,
Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu Genesta Mhagama akiwa na Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jaffo wakati
wa uzinduzi wa namba maalum ya kuchangia Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti ukimwi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu Sera,
Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu Genesta Mhagama (katikati), akiwa
na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jaffo(tatukulia),
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Ummy Mwalimu (kushoto) pamoja na viongozi wengine baada ya uzinduzi wa namba maalumu
ya kuchangia mfuko wa udhamini wa kudhibiti Ukimwi.
No comments:
Post a Comment