Wednesday, September 27, 2017

WAJUMBE WA BODI YA WADHAMINI WAKIONGOZWA NA MWENYEKITI WA BODI JENERALI MSTAAFU GEORGE WAITARA KUTEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA GOMBE AMBAPO PAMOJA NA MAMBO MENGINE WALIPOKEA TAARIFA UTENDAJI KUTOKA KWA MKUU WA HIFADHI DONATUS BAYONA

 Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), wakiwa katika picha ya pamoja 
 Mwenyekiti wa Bodi Jenerali Mstaafu George Waitara akipiga picha kwa ajili ya kumbukumbu zake katika baadhi ya maeneo 


 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Allan Kijazi kushoto akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo Jenerali Mstaafu George Waitara, na kulia ni Afisa wa TANAPA 
Mwenyekiti wa Bodi Jenerali Mstaafu George Waitara katikati akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi kulia pamoja na Mkurugenzi wa Utalii TANAPA Ibrahim Mussa.







No comments:

Post a Comment