Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Arusha (APC), Claud Gwandu akiwa ameongozana na mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Karatu Theresia Mahongo aliyefungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama hicho kushoto ni Mhasibu wa APC Pamela Mollel. Mkuatno huo ulifadhiliwa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Arusha (AUWSA)
Wanachama wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Arusha (APC), wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa wilaya ya Karatu Theresia Mahongo mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho.
Mkuu wa wilaya ya Karatu mkoani Arusha Theresia Mahongo akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Arusha (APC). Wakwanza kushoto ni Katibu Tawala wilaya ya Karatu na wapili kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyo.
Mkuu wa wilaya ya Karatu mkoani Arusha Theresia Mahongo akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Arusha (APC), Claud Gwandu mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa wanachama uliofanyika mjini Karatu.
Majadiliano yakiendelea mara baada ya kufungua mkutano wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Arusha (APC), uliofanyika mjini Karatu wakwanza kulia ni Mkuu wa wilaya Theresia Mahongo aliyekuwa mgeni rasmi, Mwenyekiti wa APC Claud Gwandu, Makamu Mwenyekiti wa APC Charles Ole Ngereza na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo
Mweka Hazina wa APC Pamela Mollle akisisitiza jambo mbele ya Mkuu wa wilaya ya Karatu mkoani Arusha Theresia Mahongo mara baada ya kufungua mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama hicho uliofadhiliwa na TANAPA, NCAA na AUWSA, pembeni ya DC ni Mwenyekiti wa APC Claud Gwandu.
Mwanachama na mwandishi wa habari kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV na Redio One mkoani Arusha Asraj Mvungi akijadili jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Arusha (APC), uliofanyika mjini Karatu
Baadhi ya wanachama wakifuatilia hoja zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye mkuatano Mkuu wa mwaka uliofanyika mjini Karatu
No comments:
Post a Comment