Makundi ya Tembo yakivinjari ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire, hifadhi inayotajwa kuwa na tembo wengi katika eneo dogo
Muongoza watalii wa kujitolea Steve Melki aliyepo katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire akiwaonyesha wanahabari na Wanachama wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Arusha (APC), hawapo pichani mifupa na baadhi ya viungo vya Fuvu la kichwa cha Tembo.
Pichani ni Taya la Tembo lililopo katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire iliyopo mkoani Manyara
Fuvu la kichwa cha Tembo likiwa limehifadhiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire iliyopo mkoani Manyara
Muongoza watalii wa kujitolea Steve Melki akiwaonyesha wanahabari na wanachama wa Arusha Press Club (APC) mifupa ya Fuvu la kichwa cha Tembo lililo hifadhiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire iliyopo mkoani Manyara wakati wa ziara yao iliyofadhiliwa na Shirika la Hifadhi za Taifa nchini (TANAPA)
No comments:
Post a Comment