Friday, August 18, 2017

UJUMBE MZITO WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU WATUA IKULU GUINEA BISSAU

Raisi wa Mahakama  ya  Afrika ya haki za binadamu na watu (AfCHPR) yenye Makao Makuu jijini Arusha Jaji Sylvain Ore akitambulisha Jaji Matusse kwa Rais Jose Mario Vaz wa Guinea-Bissau Ikulu nchini humo jana.Kushoto wa pili ni Makamu wa Raisi wa Mahakama  hiyo Jaji Ben Kioko. 

No comments:

Post a Comment