WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA, PROFESSA JOYCE NDALICHAKO
AMEWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA MAABARA YA TUME YA NGUVU ZA ATOMIKI
TANZANIA ENEO LA NJIRO -ARUSHA AGOSTI 22, MWAKA 2017
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akipokea maelezo ya ujenzi wa Maabara ya Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania katika eneo la Njiro Jijini Arusha.

No comments:
Post a Comment