Monday, August 7, 2017

MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU (AfCPHR), YAWANAO MAWAKILI

 
Makamu wa Rais wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu na Watu (AfCPHR), Jaji Ben Kioko akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mafunzo maalum kwa Mawakili watakaokuwa wakiwawakilisha wateja wanaofungua mashauri kwenye mahakama hiyo iliyopo jijini Arusha

Makamu wa Rais  wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu na Watu (AfCPHR), Jaji Ben Kioko akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa mahakama hiyo, pamoja na mawakili kutoka nchi za Afrika waliohudhuria mafunzo jijini Arusha

Baadhi ya maofisa wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu na Watu (AfCPHR) yenye Makao Makuu yake jijini Arusha
Makamu wa Rais wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu na Watu (AfCPHR) yenye Makao Makuu yake jijini Arusha Jaji Ben Kioko katikatika akibadilishana jambo na baadhi ya maofisa wa mahakama hiyo wakati wa mafunzo kwa Mawakili.

No comments:

Post a Comment