Monday, July 31, 2017

WAHARIRI NA WANAHABARI WAANDAMIZI MSITU WA AMANI MUHEZA TANGA

Baadhi ya Wahariri na Wanahabari wakiwa katika ziara ya kutembelea Hifadhi ya Msitu wa asili wa Amani uliopo wilayani Muheza mkoani Tanga, wakati wa mkutano wa mwaka na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) uliofanyika ofisi za Mkuu wa Mkoa hivi karibuni
.
 Wahariri na Wanahabari waandamizi wakisikiliza maelezo ya Hifadhi ya Msitu wa asili wa Amani uliopo wilayani Muheza mkoani Tanga,hivi karibuni
 Baadhi ya vivutio vinavyopatikana katika Hifadhi ya


 Mfugaji wa Vipepeo katika Kijiji cha Kisiwani wilayani Muheza mkoani Tanga akiwaonesha wanahabari vipepeo anaowafuga
Kijana Mohamed akitoa maelezo kwa wanahabari ya namna ya kuwakamata vipepeo na kuwafuga kabla ya kuwaza mbele ya wa


Mkazi wa Kijiji cha Kisiwani wilayani Muheza mkoani Tanga, akifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa kwa wanahabari juu ya ufugaji wa vipepeo vinavyosafirishwa nje ya nje na kuwaingizia kipato wananchi.
Baadhi ya Wahariri na Wanahabari wakisikiliza maelezo ya ufugaji wa vipepeo katika Kijiji cha Kisiwani wilayani Muheza mkoani Tanga hivi karibuni

No comments:

Post a Comment