Thursday, July 27, 2017

MKUTANO WA MWAKA WA WAHARIRI NA WANAHABARI WAANDAMIZI MKOANI TANGA

Waziri wa Maliasili na Utalii Professa Jumanne Maghembe akifungua Mkutano wa Mwaka wa Wahariri na Wanahabari Waandamizi uliofanyika Ukumbi uliopo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga.




Waziri wa Maliasili na Utalii Profess Jumanne Maghembe akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi,Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dk. Hassan Abbas, kushoto kwa Waziri ni Mkuuwa Mkoa wa Tanga Martine Shigella na Katibu Tawala Mkoa huo Zena Saidi pamoja na Wahariri wa Habari.

 Katibu wa Jukwaa la Wahariri Neville Meena akijadiliana jambo na Mhariri Mtendaji Mkuu (GME) wa Kampuni ya New Habari (2006),Ltd Absalom Kibanda kwenye mkutano huo.
Mhariri Mtendaji Mkuu (GME) wa Kamapuni ya New Habari (2006), Ltd Absalom Kibanda akifuatilia mada zilizowasilishwa kwenye mkutano huo, pembeni yake ni Mhariri wa Gazeti la MTANZANIA JUMAPILI Latifa Baranyikwa na Mwandishi Mwandamizi wa MWANANCHI Tausi Mbowe.


No comments:

Post a Comment