Friday, July 14, 2017



Mkurugenzi wa Kampuni ya Arusha Art Limited Aatish Sachdev anayemiliki shamba lililopo Kijiji cha Kilimatinde Kata ya Moita Bwawani wilayani Monduli tangu mwaka 1988 akionyesha nyaraka za umiliki na hukumu iliyompa ushindi dhidi ya wananchi waliovamia shamba hilo iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha hivi karibuni. 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Charles Mkumbo akitoa ufafanuzi wa utii wa sheria na maagizo ya Mahakama kwa wananchi wa Kijiji cha Kilimatinde wilayani Monduli waliopinga kuondolewa kwenye shamba la mwekezaji Arusha Art Limited, hivi karibuni Mahakama ilitoa amri ya kuondolewa kwa nguvu kwa watu hao. 

No comments:

Post a Comment