Monday, June 5, 2017

WAKAZI MJI WA MOSHI WAMUAGA DK. PHILEMON NDESAMBURO

Baadhi ya wananchi wakiwa haamini pichani baada ya gari lililobeba mwili wa mwasisi wa Chadema na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Moshi Mjini Philemon Ndesamburo aliyeagwa leo viwanja vya Majengo mjini Moshi na kuzikwa Jumanne eneo la nyumbani kwake Kiborloni.

No comments:

Post a Comment