Monday, June 5, 2017

 Mbunge wa Jimbo la Arusha Chadema Godbless Lema akiaga mwili wa Mbunge wa zamani Jimbo la Moshi Mjini na Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro Dk. Philemon Ndesamburo aliyefariki juzi na kuagwa katika viwanja vya Majengo Moshi. (PICHA KWA HISANI YA CHADEMA KANDA YA KASKAZINI)

 Gari lililobeba mwili wa Mbunge wa zamani Chadema Moshi Mjini Philemon Ndesamburo likiwa tayari kuelekea katika Viwanja vya Majeng Moshi mjini kwa ajili ya Ibada ya kuuga mwili huo tayari kwa maziko siku ya Jumanne nyumbani kwake Kiborlon mjini Moshi
Baadhi ya viongozi mbalimbali waliofika kuaga mwili wa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Moshi Mjini na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro Philemon Ndesamburo katika Ibada iliyofayika Viwanja vya Majengo mjini Moshi jana. (PICHA KWA HISABI YA CHADEMA KANDA YA KASKAZINI)

No comments:

Post a Comment