Baadhi ya wachimbaji wadogo wakitoa malalamiko yao kuhusu ukatili wanaodaiwa kufanyiwa na mwekezaji Kampuni ya Tanzanite One/STAMICO katika migodi ya madini ya Vito ya Tanzanite Mirerani, wilayani Simanjiro mkoani Manyara, hivi karibuni.
Mmiliki wa mgodi namba 0000049 uliopo Kitalu D, Theresia Wapalila akitoa malalamiko yake kuhusu vifaa kuporwa kwa vifaa na uharibifu wa miundombinu ya mgodi wake uliofanywa na askari na wakaguzi mgodi wa mwekezaji Tanzanite One hivi karibuni kwa madai kuwa waliingilia eneo la Delta linalomikikiwa kisheria na mwekezaji huyo
Meneja mgodi namba 0000049 Frank Mushi akionyesha namna miundombinu ya mgodi ilivyoharibiwa









No comments:
Post a Comment