Tuesday, May 30, 2017

VIJANA WAPOKEA SH. MILIONI 338 KUTOKA MFUKO WA MAENDELEO JIJI LA ARUSHA

Mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro wa tatu kutoka kulia, akiwa na Meya wa Jiji hilo Calist Lazaro kulia na Mkurugenzi wa Jiji Athuman Kihamia pamoja na vijana waliopokea Hundi hiyo kwa niaba ya wenzao jana mjini hapa.

No comments:

Post a Comment