Mwenyekiti wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu (GEPF), Joyce Shaidi akikabidhi msaada wa shuka 100 kwa Dk. Joseph Roli wa Hospital Teule ya Dareda, wilaya ya Babati vijijini, mkoani Manyara msaada wa mashuka 100, wengine wa wajumbe wa Bodi ya Mfuko na wafanyakazi wa hospitali hiyo
No comments:
Post a Comment