Monday, March 12, 2018

WAZIRI DK. MWAKYEMBE: TAGCO NI CHOMBO MUHIMU KATIKA UENDESHAJI WA SHUGHULI ZA SERIKALI

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe wanne kutoka kushoto akiwa pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Maofisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini (TAGCO), mara baada ya kufungua Kikao kazi cha 14 kinachoendelea katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC). 

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe akifungua Kikao Kazi cha 14 cha Maofisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini  zaidi ya 300 wanaokutana katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC)
Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN), nchini Tanzania Alvaro Rodriguez akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha maofisa  Maofisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini  zaidi ya 300 wanaokutana katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC)
Katibu Mkuu Wizara ya Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Suzani Mlawi akizungumza na Maofisa Habari, Mawasiliano na Uhusino Serikalini wakati wa kikao kazi cha 14 kinachoendelea katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC)
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbas akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha 14 cha Maofisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) 
Mwenyekiti wa Chama cha Maofisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini (TAGCO),ambaye ni Meneja Mawasiliano Shirika la Hifadhi za Taifa nchini (TANAPA) Paschal Shelutete akizungumza wakati wa utoaji zawadi kwa wafadhili waliowezesha mkutano huo kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Mataifa cha Arusha (AICC)
 Mfanyakazi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro (NCAA), Walter Mairo akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN), Tanzania Alvaro Rodriguez wakati wa upokeaji vyeti kutoka kwa wafadhili wa Mkutano wa Maofisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano (TAGCO), katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). 
 Mfanyakazi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro (NCAA), Walter Mairo akipokea Cheti kwa niaba ya Mhifadhi Mkuu wa NCAA Dk. Freddy Manongi kutoka wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe ikiwa ni heshima ya kutambua mchango wa Mamlaka kufadhili Mkutano wa 14 wa Maofisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini unafanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC).
Mmoja wa wawakilishi wa Mashirika yaliyofadhili mkutano huo akipokea Cheti kutoka wa Waziri wa Habari,Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe
 Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe akibonyeza kitufe ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi Tovuti ya TAGCO (www.tagco.go.tz), tovuti hiyo imelenga kuimarisha shughuli mbalimbali za Chama hicho
Mwenyekiti wa TAGCO Paschal Shelutete (kulia), akiwaongoza wageni waalikwa kuingia katika ukumbi wa  Simba ulipo Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), tayari kwa ufungzyi wa kikao kazi cha 14 cha Maofisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano, kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Arushaa Gabriel Daqarro, Waziri wa  Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbas 

No comments:

Post a Comment