Askofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Mount Kilimanjaro (DMK), Dk. Stanley Hotay akiweka wakfu jiwe la msingi kwa ajili ya uzinduzi wa jina jipya la Shule ya Bishop Alpha Memorial High School Moshi. Jiwe hilo lilizinduliwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha akisoma maandishi yaliyopo kwenye jiwe la msingi la uzinduzi mpya wa jina la Shule ya Bishop Alpha Memorial High School Moshi, pembeni yake ni Askofu wa Dayosisi ya Mount Kilimanjaro (DMK), Dk. Stanley Hotay.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi wakati wa Ibada ya kuweka wakfu jina la Shule ya Bishop Memorial High School Moshi
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nashaakionyesha zawadi aliyopewa
Mwenyekiti wa Kamati ya sherehe/ Ibada ya kuweka wakfu jina la Shule ya Bishop Alpha Memorial High School Moshi Mchungaji Manyatta akiwa ameshika picha ya Askofu Alpha, akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi wakati wa mnada wa kunadi picha hiyo ili kuchangia ujenzi wa Bwalo la chakula shuleni hapo
Mchungaji Andrew Kajembe kutoka Tanga akisalimia waumini waliohudhuria Ibada ya kuweka wakfu jina la Shule ya Bishop Alpha Memorial High School Moshi
Afisa Elimu wilaya ya Moshi akisalimia wakati wa ibada ya kuweka wakfu jina la Shule ya Bishop Alpha Memorial High School Moshi
Askofu kutoka Kondoa akitambulishwa na Askofu Dk. Stanley Hotay wakati wa Ibada ya kuweka wakfu jina la Shule ya Bishop Alpha Memorial High School Moshi.
Baadhi ya wachungaji wakijiandaa kwa ajili ya Ibada ya kuwekwa wakfu jina la Shule ya Bishop Alpha Memorial High School Moshi
Askofu mstaafu wa Dayosisi ya Mount Kilimanjaro Simon Makundi akiwaongoza maaskofu kuelekea katika Ibada ya kuwekwa wakfu jina la Shule ya Bishop Alpha Memorial High School Moshi iliyofanyika Pasua mjini Moshi
Baadhi ya waumini wakiwakiwa katika maandamano ya kuelekea kwenye ibada ya kuweka wakfu jina la Shule ya Bishop Alpha Memorial High School Moshi iliyofanyika Pasua mjini Moshi
Baadhi ya Wachungaji wakiwa kwenye maandamano kuelekea kwenye ibada ya kuweka wakfu jina la Shule ya Bishop Alpha Memorial High School Moshi iliyofanyika Pasua mjini Moshi
Baadhi ya washirika na wachungaji wakiwa kwenye maandamao ya kuelekea kwenye ibada ya kuweka wakfu jina la Shule ya Bishop Alpha Memorial High School Moshi iliyofanyika Pasua mjini Moshi
Baadhi ya Wachungaji wakiwa kwenye maandamano kuelekea kwenye ibada ya kuweka wakfu jina la Shule ya Bishop Alpha Memorial High School Moshi iliyofanyika Pasua mjini Moshi
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha akisisitiza jambo kabla ya kuanza Ibada ya kuweka wakfu jina la Shule ya Bishop Alpha Memorial High School Moshi
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi akifurahji jambo na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha pamoja na Askofu wa Dayosisi ya Mount Kilimanjaro (DMK), Dk. Stanley Hotay, pembeni yake ni Mkuu wa Shule hiyo Mwalimu Eliya Mahende
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi akiwaongoza Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha (katikati),pamoja na Mwenyekiti wa kamati ya Sherehe/Ibada ya kuweka wakfu jina la Shule ya Bishop Alpha Memorial High School Moshi Mchungaji Manyatta, pembeni ukutani kulia kwa Naibu Waziri ni Mchungaji Deo
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya sherehe ya uzinduzi wa jina jipya la Shule ya Bishop Alpha Memorial High School Moshi, Mchungaji Manyatta akimsindikiza Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha kuingia ukumbini, nyuma kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi na kushoto nyuma ni Mchungaji Maanda wa Kanisa la St. James mjini Arusha
Jopo la wachungaji wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa ibada
Uhakiki wa hesabu za mnada ukiendelea kufanywa
Kwaya ikiendelea kutumbuiza kwenye ibada hiyo
Majumuisho ya mnada wa kuchangia ujenzi wa Bwalo la chakula shuleni hapo
Kwaya ikiendelea kutumbuiza kwenye ibada hiyo
No comments:
Post a Comment