Friday, December 29, 2017

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo amevitaka Vituo vya Afya nchini sambamba na Hospital za wilaya kutengeneza bustani za kupumzikia wagonjwa wanaosubiria matibabu katika maeneo hayo.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,TAMISEMI Selemani Jafo(katikati) akikagua ujenzi wa miundombinu ya Afya katika Kituo cha Afya Makole kilichopo katika Manispaa ya Dodoma.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,TAMISEMI Selemani Jafo(Kushoto) akimsikiliza Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Makole kuhusiana na maendeleo ya ujenzi wa kituo cha Afya.
 Jengo la Maabara  kama linavyoonekana likiwa katika hatua ya Lenta.

1     Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,TAMISEMI  Selemani Jafo(kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi(katikati) baada ya ukaguzi wa ujenzi wa miundombinu ya Afya Katika Kituo cha Afya Makole.

No comments:

Post a Comment