Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo(katikati) alisainishana Mkataba wa Utendaji kazi na Usimamizi wa Shughuli za Lishe na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Evarist Ndikilo(kulia) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Chiku Galawa kw niaba ya Wakuu wa Mikoa yote Tanzania.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo(katikati) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Evarist Ndikilo(kulia) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Chiku Galawa wakionyesha Mkataba wa Utendaji kazi na Usimamizi wa Shughuli za Lishe mara baada ya kusaini makubaliano hayo.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo akimkabidhi Naibu Waziri wa OR-Tamisemi Mhe. Josephat Kandege Mkataba wa Utendaji kwzi na Usimamizi wa shughuli za Lishe kwa ajili ya usimamizi na ufuatiliaji katika Mikoa na Halmashauri zote nchini.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo akimkabidhi Naibu Waziri wa OR-Tamisemi Mhe. George Kandege Mkataba wa Utendaji kazi na Usimamizi wa shughuli za Lishe kwa ajili ya usimamizi na ufuatiliaji katika Mikoa na Halmashauri zote Nchini.
- Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo (katikati mbele) akiwa katika Picha ya pamoja na Manaibu Waziri Tamisemi pamoja Wakuu wa Mikoa baada ya kusaini Mkatana wa Utendaji Kazi na Usimamizi wa shughuli za Afya.
No comments:
Post a Comment