Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori ya Makao iliyopo Pori la Akiba la Maswa lililopo wilayani Meatu mkoani Simiyu Robert Simon akitoa taarifa ya WMA hiyo kwa wanahabari waliotembelea eneo hilo ili kujionea changamoto mbalimbali na mafanikio waliyofikia katika uhifadhi
Lunch Meneja wa Kampuni ya Uwekezaji wa MWIBA Micheal Gawi (kushoto), akifuatilia maelezo ya uhifadhi yaliyokuwa yakitolewa na viongozi wa MAKAO WMA
Afisa wanyamapori wilaya ya Meatu Revocatus Menei kulia, akiwa na Afisa wanyamapori Mkuu kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini (TAWA),Seth Ayo, ofisa mwingine na TAWA Suleiman Keraryo wakiwa wilayani Meatu mkoani Simiyu
Afisa wanyamapori wilaya ya Meatu Revocatus Menei akielezea changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo pamoja na mafanikio waliyoyapata katika uhifadhi wa Pori la Akiba la Maswa lililopo wilayani Meatu mkoani Simiyu.
Mwandishi wa Habari wa Gazeti la The Guardian Edward Qorro akifanya mahojiano na Meneja wa Lunch ya MWIBA Michael Gawo
Afisa wanyamapori wilaya ya Meatu Revocatus Menei akijadiliana jambo na viongozi wa MAKAO WMA, MWIBA HOLDING na Ofisa kutoka TAWA Suleiman Keraryo (kushoto)
No comments:
Post a Comment