Kundi la Wahabari 15 wakiwa katika picha ya pamoja geti la Marangu ikiwa ni muda mfupi kabla safari kuanza kuelekea Kilele cha Uhuru
Madaktari wa Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA) hawakuwa nyumba kuhakikisha kila mwenye tashwishwi anatibiwa haraka
Mapumziko pia yaliruhusiwa
Kufurahia pia kulikuwamo ili kuondoa uchovu na maumivu ya kupanda Mlima Kilimanjaro kama wanavyoonekana wanahabari wakifurahi.
Mwandisho wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten Arusha Jamila Omar alionekana kuitawala safari na hata kulazimika kuimba wakati wote kama anavyoonekana
Muhifadhi Mkuu wa KINAPA Betty Loiboki naye hakuwa nyuma katika safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro
Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi Arusha Mussa Juma na Mwandishi wa Gazeti la MTANZANIA Arusha Eliya Mbonea
Wanahabari Jamila Omar katikati, Mussa Juma kushoto na Eliya Mbonea wakiwa wamewasili kituo cha Horombo
Mwandishi Eliya Mbonea kushoto akiwa katika ;picha ya pamoja na Luteni Lugano Mwakagugu
Mwanahabari kutoka Tanga Betha Mwambelwa kushoto, akifuatiwa na Meneja Mawasiliano wa TANAPA Paschal Shelutete wakisikiliza maelekezo kutoka kwa kiongozi wa msafara
Luteni Mwakagugu mwenye Bendera ya Taifa akitoa maelekezo kwa wanahabari Jamila Omar na Mussa Juma kwenye eneo la utalii lijulikanalo kama Zebra
Wanahabari kutoka kushoto ni Jamila Omary, muhifadhi wa KINAPA Elisante Mussa Juma, Eliya Mbonea, Anne Robbi na Dotto Aristide wakiwa katika eneo la Zebra
Safari ya kuelekea kileleni ikiendelea
Mwanahabari Dotto akiendelea kupasua anga
Meneja Mawasiliano wa TANAPA Shelutete mwenye kofia akiafuatiwa na mwanahabari George Mbara nyumba
Mwanahabari Eliya Mbonea akiongoza msafara kuelekea Kilele cha Uhuru
Mwanahabari Jackline Massano akiwa katika Kilele cha Stella
Mwanahabari Mussa Juma na Eliya Mbonea wakiwa katika Kilele cha Mlima Kilimanjaro
Wanahabari Andrew Ngobole kushoto, Robert Mayungu na Dixson Busagaga kulia mara baada ya kutelemka Mlima Kilimanjaro
Baadhi ya wanahabari wakiendelea kubadilishana mawazo mara baada ya kutelemka
Meneja Mawasilianiwa TANAPA Paschal Shelutete akiteta jambo na Chief Guide Faustine Chombo kutoka Kampuni ya Utalii ya Zara mara baada ya kushuka kutoka Mlima Kilimanjaro
Mwanahabari Jamila Omar akiteta jambo na Mkuu wa Majeshi Mstaafu na Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA Jenerali George Waitara mara baada ya kutelemka Mlima Kilimanjaro
Mwandishi Charles Ndagula akiendelea na marekebisho mara baada ya kufanikiwa kutelemka Mlima Kilimanjaro
Furaha ilitawala kutoka kwa wapanda mlima
Ilikuwa ni furaha na shangwe kushuka Mlima Kilimanjaro
Hotuba ikifuatiliwa kwa makini
Wanahabari wakifuatilia kwa makini hotuba zilizotolewa wakati wa mapokezi ya wapanda Mlima Kilimanjaro
Wanahabari kutoka Mkoani Kilimanjaro nao walifika kujumuika kuwapokea wanahabari, askari wa Jeshi la Wananchi, Maofisa wa KINAPA, Maofisa kutoka Chama cha Urafiki wa Tanzania na China waliokuwa wamepanda Mlima Kilimanjaro
Wanahabari Mark Nkwame kulia, Anne Ribbi katikati na Betha Mwambela wakijadiliana jambo
Chief Guide kutoka Kampuni ya Zara Faustine Chombo akihojiwa na wanahabari
Chief Guide kutoka Kampuni ya Zara Faustine Chombo akimkabidhi mwanahabari Jamila Omar Vyeti vya wanahabari waliopanda Mlima Kilimanjaro
No comments:
Post a Comment