Timu ya wapanda Mlima Kilimanjaro iliongozwa kufika
kileleni na Chief Guide wa Kampuni ya Utalii ya Zara ya mjini Moshi Faustine
Chombo pamoja na viongozi wengine akiwamo Brigedia Jenerali Stephen Mkumbo,
Kamanda Brigedi ya Fari aliyeweka Bendera ya Taifa kileleni.
Kiongozi mwingine aliyekuwa kwenye timu hiyo ni Brigedia
Jenerali Stanley Mjelwa, Mkuu wa shule Mafunzo ya Infantria pamoja na Balozi Mstaafu
Charles Sanga Mwenyekiti Mstaafu wa Bodi ya Utalii.
Mbali ya viongozi hao timu hiyo iliundwa pia na Maofisa
kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Maofisa wa Chama cha Urafiki kati
ya Tanzania na China, Maofisa wa Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA) na
TANAPA pamoja na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali nchini.
Jenerali George Waitara Mkuu wa Majeshi Mstaafu na Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA akifuwatiwa nyumba na Balozi Mstaafu Charles Sanga wakiendelea na safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Uhuru Desemba 9, Mwaka huu
Wanahabari nao hawakuwa nyumba Jimmy
Maofisa wa KINAPA, TANAPA na JWTZ wakiwa kwenye mapumziko mafupi
Brigedia Jenerali Stephen Mkumbo, Kamanda Brigedi ya Faru akijiandaa kupokea Bendera ya Taifa katika Kilele cha Mlima Kilimanjaro
Luteni Lugano Mwakagugu kushoto akimkabidhi bendera ya Taifa Brigedia Jenerali Stephen Mkumbo, Kamanda Brigedi ya Faru wakati wa maadhimisho ya siku ya Uhuru Desemba 9, Mwaka huu kwenye Kilele cha Mlima Kilimanjaro
Timu ya wapnda Mlima ikiwa katika Kilele cha Mlima Kilimanjaro mara baada ya kufanikiwa kuifikisha Bendera ya Taifa wakati wa maadhimisho ya Uhuru Desemba 9, Mwaka huu
Maeneo ya Kilele cha Mlima Kilimanjaro pichani
Mapokezi ya wapanda Mlima
Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo akimkabidhi Mwenyekiti wa bodi ya TANAPA Jenerali Mstaafu Goerge Waitara maua mara baada ya kushuka Mlima Kilimanjaro
Meneje Mawasiliano TANAPA Paschal Shelutete kulia akibadilishana jambo Chief Guide wa ZARA Faustine Chombo
Jenerali George Waitara Mkuu wa Majeshi Mstaafu na Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA akizungumza na timu ya wapanda Mlima Kilimanjaro pamoja na maofisa wa KINAPA pembeni yake ni Brigedia Jenerali Stephen Mkumbo, Kamanda Brigedi ya Faru
Mkuu wa wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro Agness Hokororo akizungumza wakati wa hafla ya kuwapokea wapanda Mlima
Waongoza watalii kutoka Kampuni ya ZARA kushoto ni Faustine Chombo na Theophili
Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara akibadilishana mawazo na wafanyakazi wa Kampuni ya ZARA
Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara akibadilishana mawazo na wafanyakazi wa Kampuni ya ZARA
Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara akibadilishana mawazo na wafanyakazi wa Kampuni ya ZARA
Chief Guide kutoka Kampuni ya ZARA iliyopandisha wageni mlima Kilimanjaro Faustine Chombo akifanya mahojiano na wanahabari
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Kilimanjaro (KINAPA), Betty Loiboki akifanya mahojiano na wanahabari
No comments:
Post a Comment