Wednesday, December 13, 2017

MAZINGIRA YA ASILI YA MLIMA KILIMANJARO YANAPOHIFADHIWA HUISAIDIA JAMII KUBWA KUNUFAIKA NA MAJI SAFI

UHIFADHI wa Mazingiara kama huu katika baadhi ya maeneo yanayotengeneza msitu wa Mlima Kilimanjaro husaidia kuwa na vijito vingi vya maji vinavyotiririsha maji kuelekea kwenye mito mikubwa, ambayo husafirisha maji hayo hadi kwenye maeneo mengine kwa ajili ya matumizi ya kilimo, mifugo na majumbani. 


Utunzaji wa mazingira kama huu unapaswa kuwa moja ya vipaumbele kwa jamii zetu nchini ili kuziwezesha kuwa na uhakika wa mvua, maji safi kutoka kwenye vyanzo vya asili vilivyomo msituni.. 












No comments:

Post a Comment