Baadhi ya wanahabari wakiendelea na majukumu wakati wa mahojiano na Kaimu Meneja Pori la Akiba Ikorongo - Grumet yaliyopo wilaya ya Serengeti na Bunda mkoani Mara.
Wanahabari wakifuatilia kwa makini maelezo ya Pori la Akiba Ikorongo- Grumet
Kaimu Meneja Pori la Akiba Ikorongo-Grumet Edwin Njimbi akisisitiza kuhusu kufanyika kwa doria ya miguu kwani imekuwa na mafanikio zaidi katika kuwakamata na kuwathibiti majangiri
Kaimu Meneja Pori la Akiba Ikorongoro -Grumet akionyesha namna mtengo wa waya unaotumiwa na majangiri unavyoweza kukamata wanyama
Mwanahabari akiendelea kuchukua taarifa muhimu kwa ajili ya kuuhabarisha umma kuhusu faida za Pori la Akiba Ikorongo-Grumet yaliyopo wilaya ya Serengeti na Bunda mkoani Mara
Afisa kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori nchini TAWA), Kurugenzi ya matumizi endelevu ya wanyama pamoja na huduma za kibiashara Suleiman Leonard Kilaryo (kushoto), na Mkuu wa sehemu ya Ushirikishwaji wa jamii kwenye Uhifadhi TAWA Seth Senyael Ayo (kulia), wakiwa na wanahabari kwenye ofisi za TAWA zilizopo Serengeti
Wanahabari waliotembelea Pori la Akiba la Ikorongo-Grument wakiendelea na majukumu
Ofisi ndogo za Mamlaka ya Usimamizi wa wanyama pori nchini TAWA zilizopo Serengeti mkoani Mara
Afisa kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori nchini TAWA), Kurugenzi ya matumizi endelevu ya wanyama pamoja na huduma za kibiashara Suleiman Leonard Kilaryo kulia akifurahia jambo na Mwanahabari kutoka ITV mkoani Arusha Halifan Lihundi
Mkuu wa sehemu ya Ushirikishwaji wa jamii kwenye Uhifadhi kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama pori nchini (TAWA) Seth Senyael Ayo (kulia), akijadili jambo na Kaimu Meneja Pori la Akiba Ikorongo- Grumet yaliyopo wilaya ya Bunda na Serengeti mkoani Mara
Mandhari ya Pori la Akiba Ikorongoro lililopo wilayani Serengeti mkoani Mara
Simba na mtoto wao wakiwa wamepanda juu ya miti katika Pori la Akiba la Ikorongo kitendo hicho cha kupanda juu ya miti ni moja ya kivutio cha utalii kwa wageni.
Askari wa Pori la Akiba la Ikorongo-Grumet wakipeana mazoezi kujiweka sawa wakati wowote
Askari wa Pori la Akiba la Ikorongo-Grumet wakisaliana na askari wa Mwekezaji Grumet Reserve, Singita Sabora Tented Campe
Kaimu Meneja Pori la Akiba Ikorongo- Grumet Edwin Njimbi akijadili jambo na Afisa wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori nchini TAWA), Kurugenzi ya matumizi endelevu ya wanyama pamoja na huduma za kibiashara Suleiman Leonard Kilaryo
Wanahabari wakiwasili Grumet Reserve, Singita Sabora Tented Camp kwa ajili ya mahojiano yanayolenga kujua faida za uhifadhi wa mapori ya akiba yakiwamo ya Ikorongo-Grumet yanayopatikana katika wilaya ya Bunda na Serengeti
Wahabari wakifuatilia wanyama kwa mbali waliokuwa mbele ya Singita Sabora Tented Camp
Baadhi ya wafanyakazi wa Singita Sabora Tented Camp wakijadiliana jambo
Msimamizi wa Singita Sabora Tented Camp Michael Alfonce akizungumzia ushiriki wao katika kuwekeza kwenye utalii wa picha pamoja na kulinda Pori la Akiba la Ikorongo-Grumet
Majadiliano mafupi yakiendelea
Msimamizi wa Singita Sabora Tented Camp Michael Alfonce (kulia), akiagana na mmoja wa askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa wanyama pori nchini aliyepo Pori la Akiba la Ikorongo- Grumet
Kwa herini asanteni kwa kututembelea
Upigaji picha, mahojiano na majadiliano
Afisa kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori nchini TAWA), Kurugenzi ya matumizi endelevu ya wanyama pamoja na huduma za kibiashara Suleiman Leonard Kilaryo akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya maswali ya wanahabari
Sehemu ya muonekano wa pori la Akiba la Ikorongo-Grumet pichani
Wanahabari wakiendelea kutengeneza taarifa mara baada ya kukamilika kwa mahojiano
No comments:
Post a Comment