Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu akizungumza na wahabari kuhusu faida na mafanikio waliyoyapa kupitia uhifadhi wa Mapori ya Akiba ya Ikorongo-Grumet, akisema mapori hayo yamekuwa na faida zaidi kwa wananchi
Wanahabari wakifuatilia kwa makini maelezo ya Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu alipokuwa akizungumza nao ofisini kwake.
Mkuu wa wilaya ya Serengeti mkoani Manra Nurdin Babu anayezungumza akiwa na Katibu Tawala Kamara Kamara (kulia) pamoja na maofisa wa Mamlaka ya Usimamizi wa wanyama pori nchini (TAWA), waliosimama pembeni
Mkuu wa wilaya ya Serengeti mkoani Manra Nurdin Babu akiwaonyesha sehemu ya mradi wa majengo ya Hospitali ya kisasa ya wilaya hiyo
Mbunge wa Jimbo la Serengeti Marwa Chacha aliyenyosha mkono akionyesha baadhi ya majengo ya Hospitali ya kisasa ya wilaya hiyo inayotarajiwa kukamilika Februani mwakani
Baadhi ya majengo ya Hospitali ya wilaya ya Serengeti yakiwa katika hatua za mwisho
Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu wa mbele akiwa na maofisa wa ofisi yake pamoja na maofisa kutoka Mamlaka ya Usimamiz wa wanyamapori nchini (TAWA) waliofika kujionea mradi wa ujenzi wa hospital hiyo ya kisasa
No comments:
Post a Comment